Kama aliyepita alipigwa muhuri wa udikteta akaanguka, jina la Jezebel linaanza kupata umaarufu taratibu hiyo ni ishara mbaya

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala.

JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO.

JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA NANI?
Menemene tekel na peresi.

According to the Biblical narrative, Jezebel, along with her husband, instituted the worship of Baal and Asherah on a national scale. In addition, she violently purged the prophets of Yahweh from Israel, damaging the reputation of the Omride dynasty.[5][6][7][8] For these offences, the Omride dynasty was annihilated, with Jezebel herself suffering the gruesome death of defenestration.
 
Shukurani..
 
Ni bahati mbaya Sana sikuhizi moderators wa jamiiforum na Maxence Melo na timu yake wanafuta nyuzi zetu anyway hatutaacha kutoa maoni na maonyo ya kulitahadharisha taifa.

Menemene tekel na peresi.
Yezebeli

Ona pia Ahabu

Mwanamke mwovu katika Agano la Kale kutoka nchi ya Foinike. Alikuwa mke wa Ahabu (1 Fal. 16:30–31), mfalme wa Israeli aliyetawala wakati Eliya alipokuwa nabii.

Kuolewa kwa Yezebeli kwa Ahabu, ni tukio moja kubwa zaidi kuliko tukio jingine lolote, lililosababisha kuanguka kwa ufalme wa kaskazini wa Israeli; Yezebeli alianzisha katika Israeli aina mbaya zaidi ya zote ya ibada ya sanamu kutoka katika nchi yake badala ya kumwabudu Yehova (1 Fal. 18:13, 19).

Yezebeli aliwaua manabii wengi wa Mungu, 1 Fal. 18:4.

Yezebeli alijaribu kumwua Eliya, 1 Fal. 19:1–3.

Uovu wa Yezebeli uliishia kwa mauti yake ya kutisha, 2 Fal. 9:30–37.
 
Uovu wa Yezebeli uliishia kwa mauti yake ya kutisha, 2 Fal. 9:30–37.[emoji848][emoji1][emoji2984]
 
Namkumbuka mchawi mmoja hivi aliyeshikwa uchawi akiroga nyumba ya jirani yake huku akisema " afe, afe, afe".
 
Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala.

JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO.

JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA NANI?
Menemene tekel na peresi.
Lazima Jezebel atakuwa babako

USSR
 
Rais amezungumza vizuri kweli tena kwa uwazi ulio uwazi kwamba shauri hili sio la leo lilikuwepo na bw yule yule alikuwa analifahamu fika na baadhi ya wahusika wa jambo hili walikuwepo rumamnde kwa muda mrefu tu kabla bwana yule hajakamatwa isipokuwa bw yule ni intelegent wa kutisha sana ana akili nyingi sana akaona atafanyaje suala hile alipe mlango au mwonekano mwingine wa ki umma zaidi akaingilia kwa kasi ya katiba mpya bahati mbaya kondoo wake hawajui haya au intelegency aliyonayo kiongozi wao katika kuwatumia vyema koondoo wake, ''Rais amesaema mahakama itatupa majawabu sahihi baada ya mahakimu na wanasheria wa pande zote mbili kukabiliana kwa kina na kuja na jawabu moja tuvute subraaaaa'
 
Sote tulikuwa tunataka utawala wa sheria na huu ndio maana halisi ya utawala wa sheria.......

Kama shauri lipo mahakamani tuache wataalamu wa sheria washindane kwa hoja mahakamani.........mahakama ndio itaamua kwenye macho ya kisheria kuhusu hatia ya Mbowe.......

Tunapopigania utawala wa sheria lazima tujue kuwa hakuna aliye juu ya sheria na mtu yoyote anaweza akatenda kosa kwani hakuna mkamilifu kati yetu......

Nguvu kubwa, vitisho na mashinikizo ya kutaka Mbowe aachiwe ni alama kuwa hatuamini katika kile tunachokipigania.....au tunataka yafanyike tunayoyapigania kwa wengine tu...........

Tuwe na SUBIRA tuache mahakamani itimize wake wa kikatiba.......

Kama ni uone na uongo vipo mioyoni mwa watesi na kama ni uongo pia upo moyoni mwa mtenda....

Huu ndio muda muafaka wa kuyaishi tunayoyapigania( utawala wa sheria na demokrasia) kwa vitendo kwa kuacha mahakamani ifanye kazi yake......
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Hivi aliepita alianguka kwa sababu aliitwa dikteta?

Kama ndio hivyo kwani nyie mibavicha kumbe akili hamna!

Badala ya kuombea anguko la ccm nyie mnaombea anguko la mtu.?

Ndio maana mlishangilia kifo cha mwenda zake mkifikiri sasa mambo yenu yatakuwa mteremko mkawa mnawatukana kina Bashiru, sasa hivi kina Lisu wameanza haga kumkumbuka Magu.
 
Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala.

JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO.

JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA NANI?
Menemene tekel na peresi.
Jezebel, kahaba mkuu, Mama wa makahaba ameanguka
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
Kuandamana bila kikomo ni ugaidi? Halafu kupinga matokeo ndio maana tunataka katiba mpya kwasababu nyie mnaiba kura na hamshtakiwi kwa kuiba kura
 
Sote tulikuwa tunataka utawala wa sheria na huu ndio maana halisi ya utawala wa sheria.......

Kama shauri lipo mahakamani tuache wataalamu wa sheria washindane kwa hoja mahakamani.........mahakama ndio itaamua kwenye macho ya kisheria kuhusu hatia ya Mbowe.......

Tunapopigania utawala wa sheria lazima tujue kuwa hakuna aliye juu ya sheria na mtu yoyote anaweza akatenda kosa kwani hakuna mkamilifu kati yetu......

Nguvu kubwa, vitisho na mashinikizo ya kutaka Mbowe aachiwe ni alama kuwa hatuamini katika kile tunachokipigania.....au tunataka yafanyike tunayoyapigania kwa wengine tu...........

Tuwe na SUBIRA tuache mahakamani itimize wake wa kikatiba.......

Kama ni uone na uongo vipo mioyoni mwa watesi na kama ni uongo pia upo moyoni mwa mtenda....

Huu ndio muda muafaka wa kuyaishi tunayoyapigania( utawala wa sheria na demokrasia) kwa vitendo kwa kuacha mahakamani ifanye kazi yake......
Ni ujinga kufikiria tuna utawala wa sheria wakati haupo.

Mbowe alikamatwa namna gani? Sheria ikifuatwa katika ukamataji?

Mbowe ifikishwa mahakama baada ya muda gani? Sheria ilifuatwa?

Tanzania kwani tuna mahakama au tuna kitengo cha Rais kinachofanya kazi ya mahakama? Kuna mahakama ambayo huwa inaambiwa cha kufanya na Rais? Magufuli aliwaambia funga akina Mdude, funga matajiri, piga faini akina Mbowe, ikawafunga na kuwapiga faini ya mamia ya mamilioni akina Mbowe na matajiri. Samia anakuja anaiambia, mnajua nchi yetu imechafuka, waachie akina Mdude, matajiri na akina Mbowe warudishiwe hela yao, na yenyewe inafanya. Hivi hiyo utaiita ni mahakama?
 
According to the Biblical narrative, Jezebel, along with her husband, instituted the worship of Baal and Asherah on a national scale. In addition, she violently purged the prophets of Yahweh from Israel, damaging the reputation of the Omride dynasty.[5][6][7][8] For these offences, the Omride dynasty was annihilated, with Jezebel herself suffering the gruesome death of defenestration.
AKafie mbali huyu bibi mwenye roho mbaya kama sura yake
 
Back
Top Bottom