Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
Tatizo hata hizo mahakama zenyewe mnazotaka waiba kura washtakiwe mmeanza lini kuziamini?Kuandamana bila kikomo ni ugaidi? Halafu kupinga matokeo ndio maana tunataka katiba mpya kwasababu nyie mnaiba kura na hamshtakiwi kwa kuiba kura
Kwa hiyo inawezekana hata Sabaya anakandamizwa na mfumo mbovu wa mahakama zetu dhaifu......??Ni ujinga kufikiria tuna utawala wa sheria wakati haupo.
Mbowe alikamatwa namna gani? Sheria ikifuatwa katika ukamataji?
Mbowe ifikishwa mahakama baada ya muda gani? Sheria ilifuatwa?
Tanzania kwani tuna mahakama au tuna kitengo cha Rais kinachofanya kazi ya mahakama? Kuna mahakama ambayo huwa inaambiwa cha kufanya na Rais? Magufuli aliwaambia funga akina Mdude, funga matajiri, piga faini akina Mbowe, ikawafunga na kuwapiga faini ya mamia ya mamilioni akina Mbowe na matajiri. Samia anakuja anaiambia, mnajua nchi yetu imechafuka, waachie akina Mdude, matajiri na akina Mbowe warudishiwe hela yao, na yenyewe inafanya. Hivi hiyo utaiita ni mahakama?
Kwahiyo gaidi alikamatwa akaachiwa akatoroka nchini akarudi rais akasema account zake zifunguliwe gaidi akaendelea kuwepo tu akafiwa na rais akamtumia salamu za rambirambi publicly?Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
Mheshimiwa Rais Yezebel?Rais amezungumza vizuri kweli tena kwa uwazi ulio uwazi kwamba shauri hili sio la leo lilikuwepo na bw yule yule alikuwa analifahamu fika na baadhi ya wahusika wa jambo hili walikuwepo rumamnde kwa muda mrefu tu kabla bwana yule hajakamatwa isipokuwa bw yule ni intelegent wa kutisha sana ana akili nyingi sana akaona atafanyaje suala hile alipe mlango au mwonekano mwingine wa ki umma zaidi akaingilia kwa kasi ya katiba mpya bahati mbaya kondoo wake hawajui haya au intelegency aliyonayo kiongozi wao katika kuwatumia vyema koondoo wake, ''Rais amesaema mahakama itatupa majawabu sahihi baada ya mahakimu na wanasheria wa pande zote mbili kukabiliana kwa kina na kuja na jawabu moja tuvute subraaaaa'
Yezebela.Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala.
JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO.
JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA NANI?
Menemene tekel na peresi.