Kama ambavyo unavizia kuiba mke au mume wa mtu, ndivyo nawe unavyonyemelewa kunyakwa na huenda ukaumizwa vibaya

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana.
na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba.

kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako.

Pasaka hii tulizana, baki na familia, uridhike na wako na watoto wako, ni fedheha na aibu kubwa sana ikibainika una mendea mke au mume wa mtu halafu unanyakwa na kipigo Juu.
 
40 ya kwaresma inaishia leo...

keho ya 41 jihadhari na epuka kua wa kwanza kunyakwa...
• Basi leo sitoki ndani ili siku za mwinzi ziishe vizuri,

• Kwa vile ikifika kesho tunaaza tena 1, 🤠🤠🤠. Siyo mbaya
 
kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana.
na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba.

kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako.

Pasaka hii tulizana, baki na familia, uridhike na wako na watoto wako, ni fedheha na aibu kubwa sana ikibainika una mendea mke au mume wa mtu halafu unanyakwa na kipigo Juu.
Huu ushauri unampa Ole sendeka!!?
 
Pole mkuu, ila hawa vijana wa siku hizi ni wa ovyo kabisa, wanapenda sana mali za watu.

Ukimkamata huyo kijana mpake wese la kalio.
 
Kutokuvizia mke/mume wa mtu haimaanishi wako haviziwi..! Havina uhusiano..!! Wako ataviziwa au hataviziwa bila kujali kama wewe unavizia au huvizii..!!
 
Hakika
 
kwa ujumla kiviziana si ungwana...
 
Pole mkuu, ila hawa vijana wa siku hizi ni wa ovyo kabisa, wanapenda sana mali za watu.

Ukimkamata huyo kijana mpake wese la kalio.
nakutakia pasaka tulivu na ya baraka sana wewe pamoja na familia yako....
 
Back
Top Bottom