Kama ambavyo unavizia kuiba mke au mume wa mtu, ndivyo nawe unavyonyemelewa kunyakwa na huenda ukaumizwa vibaya

Kama ambavyo unavizia kuiba mke au mume wa mtu, ndivyo nawe unavyonyemelewa kunyakwa na huenda ukaumizwa vibaya

Huu ushauri unampa Ole sendeka!!?
ni ujumbe wangu wa Pasaka kwa mwaka huu wa Kiroho,
kwa ndugu na familia yangu yote muhimu sana ya JF.....

natamani sana,
baada ya pasaka hii asiwepo hata moja wa kukumbwa na gharika hii ya fedheha sana katika sikukuu hii...
 
Sasa huu usemi unaosemwa cha mtu uliwa na mtu alafu chuma uliwa na kutu alafu mke wa mtu sumu imekaaje hapo
 
Sasa huu usemi unaosemwa cha mtu uliwa na mtu alafu chuma uliwa na kutu alafu mke wa mtu sumu imekaaje hapo
kupanga ni kuchagua bana....

ng"ang"ana na kuridhika na chako...

sumu na kutu utaviskia kwa wenye tamaa tu...
 
Unawapigia mbuzi gitaa
nimetekeleza wajibu wangu vema kwa uwazi sana,

na, nakua sidaiwi na kijana yeyote mwenye mipango hiyo, akibambwa kwa mke au mume wa wenywe basi mie nakua si mwenye hatia.

nimeiona hatari, nimewatonya na kuwa tahadharisha wangwana tunapoelekea kusherehekea pasaka...
 
Back
Top Bottom