• Basi leo sitoki ndani ili siku za mwinzi ziishe vizuri,40 ya kwaresma inaishia leo...
keho ya 41 jihadhari na epuka kua wa kwanza kunyakwa...
Huu ushauri unampa Ole sendeka!!?kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana.
na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba.
kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako.
Pasaka hii tulizana, baki na familia, uridhike na wako na watoto wako, ni fedheha na aibu kubwa sana ikibainika una mendea mke au mume wa mtu halafu unanyakwa na kipigo Juu.
Pole mkuu, ila hawa vijana wa siku hizi ni wa ovyo kabisa, wanapenda sana mali za watu.kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana.
na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba.
kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako.
Pasaka hii tulizana, baki na familia, uridhike na wako na watoto wako, ni fedheha na aibu kubwa sana ikibainika una mendea mke au mume wa mtu halafu unanyakwa na kipigo Juu.
Kutokuvizia mke/mume wa mtu haimaanishi wako haviziwi..! Havina uhusiano..!! Wako ataviziwa au hataviziwa bila kujali kama wewe unavizia au huvizii..!!kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana.
na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba.
kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako.
Pasaka hii tulizana, baki na familia, uridhike na wako na watoto wako, ni fedheha na aibu kubwa sana ikibainika una mendea mke au mume wa mtu halafu unanyakwa na kipigo Juu.
Hakikakiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana.