ni ujumbe wangu wa Pasaka kwa mwaka huu wa Kiroho,Huu ushauri unampa Ole sendeka!!?
Shemela, ukiona hivi, jichunguze kwenye mualiko wa mara ya mwisho ulifanya kituko gani..!!Siku hizi hakuna hata mialiko ya sikukuu.....
Shemela umeibiwa?mioyo huhama na macho ya watu ni makali sana kwenye vitu vya watu waalikwapo...
Nlikula hadi nikabeba ubwabwa kwenye mfuko wa shatiShemela, ukiona hivi, jichunguze kwenye mualiko wa mara ya mwisho ulifanya kituko gani..!!
Halafu waalikaji wanaambianaga..!!Nlikula hadi nikabeba ubwabwa kwenye mfuko wa shati
Mkuu, kwaresma iliisha Jumatano. Kuanzia Alhamisi Kuu ni Triduum.40 ya kwaresma inaishia leo...
keho ya 41 jihadhari na epuka kua wa kwanza kunyakwa...
Si unialike hata tukale mihogo coco kama kuja kwako ni ishu 🙄Halafu waalikaji wanaambianaga..!!
dah we acha tu hiyo kitu ni htaripole sana kuponea chupchupu...
Kwani coco hutabeba mihogo kwenye mfuko wa shati?? Maana usisahau jasiri haachi asiliSi unialike hata tukale mihogo coco kama kuja kwako ni ishu 🙄
Si tupo out sio kwako hamna shidaKwani coco hutabeba mihogo kwenye mfuko wa shati?? Maana usisahau jasiri haachi asili
Ameen ndugu na kwako pia.nakutakia pasaka tulivu na ya baraka sana wewe pamoja na familia yako....
Ikawaje mkuu?Uko sahihi mkuu ilishawahi kunitokea hii
nimetekeleza wajibu wangu vema kwa uwazi sana,Unawapigia mbuzi gitaa