Kama anaamini wananchi hatuijui katiba ya sasa, yeye mwenyewe akae pembeni maana hatujui hiyo nafasi kaipataje

Yaani kuanzia Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kiwete na Magufuli wameliongoza taifa kwa katiba hii hii na tulielewa Kila kitu na hatukuambiwa hatujui katiba! Leo huyu bi maushungi anatudharau kiasi hiki akiwa na malengo yake binafsi! Hovyo sana huyu bibi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…