Kama asingekosea kutaja jina langu, ningekuwa na hali gani sasa?

Kama asingekosea kutaja jina langu, ningekuwa na hali gani sasa?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nikiwa maeneo ya mikoa ya kusini, baada ya kumaliza harakati zangu za hapa na pale, nikaamua kuingia kiwanja kimoja kwenye mida ya saa nne usiku angalau niweze kupata 'vibe'.

Baada ya kufika kaunta, nikaagiza mvinyo kama kawaida yangu huku nikiangalia kule na pale angalau tu, niweze kuona maua yaliyoletwa duniani ili kupendezesha uso wa dunia.

Ile kuangalia kushoto kwangu, nikaona zigo hatari mwenye sura ya ushawishi amekaa na wenzake kama watatu hivi; na wote ni wazuri, ila nilivutiwa zaidi na huyu mmoja.

Kutokana na ujasiri nilionao, nikamfuata pale mezani huku nikiwa nimeshika kinywaji changu kwenye glass; ile kumfikia tu, nikamuambia, 'baby roho yangu inanishawishi niongee na wewe'', akanijibu, ''usijali mpenzi niambie"; nikamuuliza, ''unakunywa kinywaji gani?'' Akaniambia, savana; baada ya pale muhudumu akamletea.

Baada ya pombe kupanda kichwani, nikaona mrembo ananifuata nilipokaa na kunilazimisha tucheze, huku akinisugua na zigo lake; ghafla uzalendo ukanishinda nikajikuta namwambia, ''baby leo tutaondoka wote''. Akasema sawa tu, ni wewe tu.

Baada ya masaa kwenda, ikabidi tuondoke na huyo mlimbwende mpaka nilipofikia.

Tulipokuwa ndani, alinipa shoo ya kibabe, mbaya zaidi wakati nachochea kuni, akaniuliza, ''we unaitwa nani?'' Nikamwambia, ''equation x''

Ghafla wakati nampelekea moto, akajisahau kutaja jina langu akawa anataja jina la mtu mwingine huku akilalamika, ''we masawe wewe, nakuambia kila siku uninunulie kiwanja na unifungulie biashara lakini hutaki, mi nimekupenda wewe tu, najitahidi kukupa staili zote lakini we masawe hutaki kunisikia"

Nilishtuka sana, nikajua huyu ndio wale wanaotumia ndumba kwa kutaja majina ya watu ili aweze kuongezewa salio.

Palipokucha nikampatia chake, na tukaagana; ilipofika mchana akawa ananitafuta tena, ila sikutaka kuonana naye tena; baadaye akanitumia ujumbe mfupi, kama nikiwa dodoma naweza pia kumtafuta; nami nikamjibu haina shida.

Swali ninalojiuliza mpaka sasa, kama asingekosea kutaja jina; kwangu hali ingekuwaje?

Wazoefu karibuni​
 
Back
Top Bottom