Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Huo mradi haukufanikiwa wakati wa Magufuli sababu Magu alitaka fair share kwa nchi. Hapo ndiyo shida ilianza.
 
Atafanikiwa tu, tuendelee kumwombea
 
Nimesoma komenti zote bt sijaona hata taarifa lini mradi unaanza hebu wekeni tarehe za kuanza mradi ili nikajichangaje pande zile nipate mkate wangu.
 
Nimesoma komenti zote bt sijaona hata taarifa lini mradi unaanza hebu wekeni tarehe za kuanza mradi ili nikajichangaje pande zile nipate mkate wangu.
Utaanza 2022 kama mambo yote yatakwenda sawasawa na utakamilika 2028,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…