General Akudo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 560
- 827
Achana na nani kaandika chukua utamu tuhii kaandika kigogo january makamba....hamna kitu hapa 😕
Ni urithi kwa familia ya Makamba na vibaraka wake!
Huwa wanajiangaliaga wao kwanza wale 10% nyie hata mkifa its okay mradi wao wawe salama tu!
Hio miradi ya hivyo ntashabikia kama kinachopatikana watanzania watawekewa gawio kwenye Mpesa zao kila mwezi!
Ipo siku nasisi tutafika huko,..jimbo la Alaska ambako wana utajiri wa mafuta kila mlipa kodi au mkaazi wa jimbo hilo hupata mgao kutoka ktk mapato ya mafuta ya jimbo hilo.
Samia atatufikisha lazima,Ipo siku nasisi tutafika huko,
Leo hatuna barabata, maji, umeme etc
Katika itawezesha watu kula kwasababu itaziba mianya ya mafisadi!!Wewe unakula katiba?
Ipo siku nasisi tutafika huko,
Leo hatuna barabata, maji, umeme etc
Sasa siwatatoana meno wabongo mjomba,..Ni bora kufuata utaratibu wa Alaska.
..kila Mtz alipwe fedha zinazotokana na mauzo ya rasilimali zetu.
..wananchi tukianza kupata mgao kila Mtanzania atataka kujua kinachoendelea ktk uvunaji wa rasilimali zetu, hivyo serikali itakuwa makini zaidi ktk usimamizi.
..barabara, maji, etc zimekuwa zikijengwa hapa Tz tangu hatujaanza kuvuna rasilimali kama gesi, na dhahabu.
Wizi ni hulka za watu wala sio zao la katiba mjombaKatika itawezesha watu kula kwasababu itaziba mianya ya mafisadi!!
Sasa siwatatoana meno wabongo mjomba,
Yaani bongo ugawe pesa kila Mtaa khaa
Hahaha mjomba unanichekesha sana,..wacha tutoane meno.
..meno ni kwa ajili ya kutafuna.
..sasa kama mlo wetu ni wa shida hakuna haja ya kuwa na meno yote.
Wizi ni hulka za watu wala sio zao la katiba mjomba
Watanzania wakae mkao wa kitajiri, wakati huo manyang'au ya CCM yameenda wapi?Huyu Mama ananyota tu kila anachofanya kinatiki,
Nimesikia Linga na Mchuchuma vimeumana,
Watanzani tukae mkao wa kitajiri tu
Hata hivyo Rais Samia hajawahi kuupinga mchakato wa katiba mpya,Katiba ikifuatwa, kutakuwa na taasisi imara na hapo ndipo matumizi mazuri ya fedha za walipa kodi yatasimamiwa. Hakuna tena mkuu wa nchi kujiamulia yeye mwenyewe Kwenda kununua ndege huku amebeba hela kwenye sandarusi !! Katiba haizai wizi bali inadhibiti matumizi mabaya ya fedha za kodi ya wananchi ikiwa ni pamoja na wizi!
Chadema ndio kuna malaika?Watanzania wakae mkao wa kitajiri, wakati huo manyang'au ya CCM yameenda wapi?
Chadema kimuhemuhe chetu kinatuharibia siku zoteHata hivyo Rais Samia hajawahi kuupinga mchakato wa katiba mpya,
Niswala la muda tu
Chadema unatafuta nini hadi leo?Chadema kimuhemuhe chetu kinatuharibia siku zote
Hata hivyo Rais Samia hajawahi kuupinga mchakato wa katiba mpya,
Niswala la muda tu
Sasa kama katiba ina mrinda kiongozi asishitakiwe akiwa madarakani au baada ya kutoka madarakan unategemea huyo kiongozi akitumia fedha za umma vibaya kuna hatua yeyote itachukuliwa juu yake ikiwa katiba ya nchi inampa kinga ya maovu yake? Muongozo(katiba) mbaya matokeo yake huwa mabaya piaWizi ni hulka za watu wala sio zao la katiba mjomba
Mtaa gani wanaomsifia mama? Hahahaha au huko Dubai? Mtaani huku hakuna anayemuelewa mamahuku mtaani kila mtu anamsifia mama wewe sijui wa wapi kama humjui chuki zako zitakuua