Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Hakuna anayepinga hitaji la katiba ila sio kipaumbele cha Watanzani kwa sasa,
 
Uko sahii 100%
 
Hakuna anayepinga hitaji la katiba ila sio kipaumbele cha Watanzani kwa sasa,
Sijazungumzia katiba mpya ila nimepinga hii kauli yako "Wizi ni hulka za watu wala sio zao la katiba"

Kuhusu ktiba mpya hilo limekaa kisiasa zaidi kusema sio kipaumbele xha watanzania kwa sasa ni mbinu za kutumia ujinga wetu(maana ata iliyopo watu hawaijui) kama hoja ya kujitetea. Jiulize kwan kipindi walipoanzisha mchakato wa katiba mpya awamu ya nne kwan huo mchakato ulikuwani kipaumbele cha watanzania?
 
Ndio Maana Rais Samia ameahidi kulimaliza tatizo la wanasiasa wanataka katiba kwa manufaa yao tu,

Kenya wanakatiba nzuri sana Africa ila ndio wanaongoza kwa ufisadi so wizi ni hulka za watu sio uwepo wa katiba mbovu,
 
Kila la heri Mheshimiwa Rais Mama Samia afanikishe hili.
 
Ndio Maana Rais Samia ameahidi kulimaliza tatizo la wanasiasa wanataka katiba kwa manufaa yao tu,

Kenya wanakatiba nzuri sana Africa ila ndio wanaongoza kwa ufisadi so wizi ni hulka za watu sio uwepo wa katiba mbovu,
Good
 
Mlituambia hivyo hivyo kwa Kikwete, Mwinyi na Magufuli. We know you are paid for freezing our brain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…