mdeki
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 3,299
- 475
Tena kigoda ana madharau sana ***yule serukambaNi sawa na mbunge wa Handeni, kulizwa tuna shida ya maji utatutaliaje hili tatizo, kajibu mnataka nikakojoe bwawani? Wabunge wote wa CCM hawana akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena kigoda ana madharau sana ***yule serukambaNi sawa na mbunge wa Handeni, kulizwa tuna shida ya maji utatutaliaje hili tatizo, kajibu mnataka nikakojoe bwawani? Wabunge wote wa CCM hawana akili
Ni sawa na mbunge wa Handeni, kulizwa tuna shida ya maji utatutaliaje hili tatizo, kajibu mnataka nikakojoe bwawani? Wabunge wote wa CCM hawana akili
watu8; Sasa hiyo siyo tetesi tena bali ukweli mtupu, harafu mtu asiye na staha wala kujua namna ya kuituliza mioyo ya masikini eti yupo kwenye timu ya wanaoutaka Urais lol!
Ila kweli ubinadamu kazi, uyu mh. magufuri hata kama ana kauli mbaya, ila watu wa CHATO hawana shukrani kwa uyu jamaa.
Kiukweli hapa tanzania kwa sasa hakuna wilaya inayopaa kwa maendeleo kama chato, tuachane na mambo ya kisiasa, chato kwa sasa ni wilaya ya mfano katika Tanzania, kwanza ni wilaya yenye miaka 6, yaani imeanzishwa mwaka 2007 ila mpaka sasa ni wilaya inayotegemea kuwa na maji ya bomba kuja kufika mwezi wa tisa,
Ni wilaya ambayo barabara zake zote zinapitika kwa wakati wote katika mwaka, Ni wilaya yenye umeme ingawa ni wa jenereta, ni wilaya yenye barabara ya rami yenye urefu wa zaidi ya Km 100,
Ni wilaya yenye rami karibia mitaa yote ya chato mjini. Jamaa kajitahidi kufanya vitu hivi vyote lakini watu hata hawamkubali pamoja na mapungufu yake.
Jamaa kaleta miradi ya kutosha hapa wilayani iliyotoa ajira kwa vijana, ila kumbuka nabii hathaminiwi nyumbani hat siku moja.
Pia haya majungu yanatoka kwa vijana wa vijiweni hasa pale chato mjini ambao wanataka kila jamaa akija wampe umbea ili awape angalau vijisent, ila jamaa hana tabia ya kugawa ela, yeye anataka watu wafanye kazi kuliko kukaa kijiweni.
Kitu kingine ni kuwa hawa watu wa chato ni wavivu sana, kukaa sana vijiweni pamoja na majungu! Hawataki kufanya kazi wamekalia majungu tu!
Pia jamaa aliwaambia kuwa kamwe hawatakaa waajiriwe Halmashauri kwa kuwa kulikuwa na kiwanda cha pamba hapa chato ambacho kilikuwa na wazawa wa kutosha toka hapa chato ila badala ya kufanya kazi na kukiendeleza hiki kiwanda, wao walijikita katika kukifilisi, kuiba mafuta, vifaa mbali mbali vya kiwanda mpaka kikafa
Hapo sasa ndo hasira zilimjaa na kuwaambia " Kwa kuwa mmekifilisi na kukiua hiki kiwanda kamwe hamtaajiriwa katika halmashauri hii" hapo ndo kikawa chanzo cha kumchukia ingawa jamaa alikuwa anawaambia ukweli.
Nayasema haya kwa kuwa 2011 nilikuwa chato na nilikaa hapo miaka 3.
Pamoja unachozungumza kuwa na ukweli kiasi chake lakini pia tambua magufuli ilifikia wakati akashindwa kuelewana na uongozi wa halmashauri hasa alipolazimisha wafanyakazi wapange kwenye nyumba zake, akafanya hiana kwa mdogo wake ili arithi mali za baba ake. Jamaa ni mbinafsi ameua bandari ya chato.....
Watu hawamtaki, sisa za ubinafsi na kauli mbovu, wakati anautubia mkutano wa hadhara ktk jimbo lake la chato mwanamke mmoja alimuuliza" mh, ktk jimbo letu tunashida na maji unatusaidiaje?" mh akamwambia kojoeni mikojo yenu na muikinge mpate maji. Akiwa buziku ktk jimbo lake wananchi wakamuuliza, "mh kwetu lami itapita lini?" akajibu tafuteni mavi ya ng'ombe myapake barabarani yawe lami. Magufuli kwa heri 2015 huna chako tena.
Hata aliyekuwa mbunge wa jimboni kwetu ilemela alikuwa na majibu mabaya balaa kuna mwananchi aliwahi muuliza swali kuwa mh. kwetu umeme utafika lini nae alijibu kwa kuuliza swali kua je wewe ulieuliza swali unanyumba ya kuvuta umeme?
HAWANA MAJB MAZR
Hata aliyekuwa mbunge wa jimboni kwetu ilemela alikuwa na majibu mabaya balaa kuna mwananchi aliwahi muuliza swali kuwa mh. kwetu umeme utafika lini nae alijibu kwa kuuliza swali kua je wewe ulieuliza swali unanyumba ya kuvuta umeme?
HAWANA MAJB MAZR