Elections 2015 Kama atasoma hapa Mh. Magufuli ahailishe kugombea ubunge jimbo la Chato

Ndugu zangu si kwamba watu wanamchukia Magufuli hayo yanayoandikwa ni kweli huyu Bwana anamajibi machafu sana kwa wapigakura wake na wananchi kwa ujumla kwa kuwa rocords zipo za video na sauti yake naomba wadau wenye nazo watengeneze vopande vidogo vidogo vya maneno hayo na wavirushe kwenye mitandao ili watanzania waamini haya sio kwamba tunamchukia amefanya hivyo sio tu jimboni kwake hata sehemu nyingine kama kigamboni pia alitukana madereva kipindi kile cha sakata la mizigo kwenye maroli na tukumbuke mwalimu alichokisema ukizoea kula nyama za watu hauta acha sio kwamba akiwa rais ataacha tabia hii chafu kwani ipo ndani yake
 
bavicha hadithi zenu za sijui Dr Magufuli ni mzuri lakini atawajali wazee hivyo hafai tumezichoka na haziuziki tena. mnapinga mtu bila kuonesha mbadala wa kwenu ni nani mbona mko kimyaa? mnajifariji tu humu ndani.

Oooh Magufuli ana maamuzi magumu sasa mnataka awe na mepesi kama ya Mtei ya kuzuia chama chake kisikubari Lipumba awe mgombea urais wa UKAWA.
 
Mtahangaika Sana na makufuli ndiyo huyo tena acha heshima irudi
 
Jamaa ndo Rais hautaki hama nchi!! alipo chukua fomu mlisema akipita anafaa ko mlikua mnatania? wenzenu wamefanya kweli
 
[QUOTE=Watu8;Utendaji upi aliyekuwanayo ni ule wa uuzaji wa nyumba za serikali na bara2 zisizokuwa na viwango?apana jpm
 

Ni kweli ulivyosema. Na utakuta hapo mjini wafitini ndiyo wengi. Vijana wengi hapo town ni wavivu sana
 
hawa wbnge wa ccm bwana. Nakei wa babati aliwahi ulizwa khs barabara akawajibu bara2 mtaifanyaje mm ndo mwenye gari tu.
 

Mwakafulani alikuja Biharamlo akaombwa na mwananchi kuwa tunaomba utuwekee lami barabara inayotoka Bukoba kwenda kijiji cha Lusahunga ili tuweze kupata maendeleo,Yeye alijibu kuwa kama barabara ya lami inaleta maendeleo,kule kijiji cha Lusahunga imepita barabara ya lami inayotoka Rwanda kwenda Kahama nenda ukajenge nyumba yako Lusahunga kwenye lami uone kama lami itakuletea maendeleo.
 
Kumpa kura Magufuli inatakiwa uwe na maamuzi magumu vinginevyo huwezi ukampa kura yako ni bora kura yako ukaitumbukize chooni ikatafunwe na funza wa chooni.
 
Yanatimia...Kama yalivyonenwa na manabii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…