Kwhy miaka 5 ya uspika wa ndugai amesimamia nn cha maana Kama sio kupoteza muda na akina Lema ..Ni kiongozi wa hovyo never ever happen under strong institution as parliamentUnachangia ki CHADEMA na si KIAKILI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwhy miaka 5 ya uspika wa ndugai amesimamia nn cha maana Kama sio kupoteza muda na akina Lema ..Ni kiongozi wa hovyo never ever happen under strong institution as parliamentUnachangia ki CHADEMA na si KIAKILI.
Uzuri mama Hana ajenda za kututeka na hatetei bogus leadersHicho chama hakina tofauti na saccos
Bado unaabudu makucha ya maiti aliyeko kuzimu now? Huwezi kuwa sawa kichwani wewe. Anyway Mungu ni mwema nyir mkiobaki hamna madhara kivile.Ni kweli Spika Ndugai ana 'Mapungufu' yake, ila na Mimi GENTAMYCINE sasa taratibu naanza kuona pia kuna Matatizo ya 'Kimsingi' kwa upande wa Wapinzani ( hasa CHADEMA ) juu ya madai yao ama kwa Serikali au kwa Chama Tawala ( CCM )
Ushauri wangu tu Kwenu Marafiki zangu wa 'Kidemokrasia' nchini Tanzania CHADEMA kama Spika Ndugai kasema 'andiko' mlilompelekea ni 'Kipeperushi' basi nawaombeni mno anzeni Kujipanga hasa 'Kihoja' mnapojiandaa kwenda kukutana na Rais Samia katika Siku mtakayopangiwa ili baada ya kuonana nae asije kuwaita 'Wapuuzi' kwa yale mtakayoyawasilisha Kwake ambayo mmeyapania kweli kweli.
Kwa aina ya Uzungumzaji ule wa Spika Ndugai na ukiiangalia na 'body language' yake ( tena huku akijiamini kabisa ) tusifichane hapa ni lazima tu kutakuwa na Shida Kubwa ya 'Kiutendaji' kwa CHADEMA ila 'inafichwa' ama 'inafunikwa' tu kwa Mgongo wa Mapungufu ya Serikali na Chama Tawala chake cha CCM.
Ni wakati sasa wa Watu Makini ( Waelewa ) kuacha sana Kumshutumu Spika Ndugai 'Kimazoea' au kwa 'Kumkariri' na sasa tugeuke 'Kuwakosoa' hawa CHADEMA ili mwisho wa Siku tutende Haki kwa wote na tusijiingize katika 'Dhambi' ya kuja Kuitwa Wanafiki, Waongo na Wazushi tu wa Masuala.
CHADEMA anzeni 'Kujitathmini' haraka.
Upo nje ya madaUzuri mama Hana ajenda za kututeka na hatetei bogus leaders
Nyie endeleeni kumpa kichwa huyo sabufa mvunjifu wa kanuni alizozitunga mwenyeweUpo nje ya mada
Nani alikuteka wewe? Una faida gani
Ungepost na hicho kinachodaiwa kipeperushi mkuu, tuone ni kipeperushi au la.Ni kweli Spika Ndugai ana 'Mapungufu' yake, ila na Mimi GENTAMYCINE sasa taratibu naanza kuona pia kuna Matatizo ya 'Kimsingi' kwa upande wa Wapinzani ( hasa CHADEMA ) juu ya madai yao ama kwa Serikali au kwa Chama Tawala ( CCM )
Ushauri wangu tu Kwenu Marafiki zangu wa 'Kidemokrasia' nchini Tanzania CHADEMA kama Spika Ndugai kasema 'andiko' mlilompelekea ni 'Kipeperushi' basi nawaombeni mno anzeni Kujipanga hasa 'Kihoja' mnapojiandaa kwenda kukutana na Rais Samia katika Siku mtakayopangiwa ili baada ya kuonana nae asije kuwaita 'Wapuuzi' kwa yale mtakayoyawasilisha Kwake ambayo mmeyapania kweli kweli.
Kwa aina ya Uzungumzaji ule wa Spika Ndugai na ukiiangalia na 'body language' yake ( tena huku akijiamini kabisa ) tusifichane hapa ni lazima tu kutakuwa na Shida Kubwa ya 'Kiutendaji' kwa CHADEMA ila 'inafichwa' ama 'inafunikwa' tu kwa Mgongo wa Mapungufu ya Serikali na Chama Tawala chake cha CCM.
Ni wakati sasa wa Watu Makini ( Waelewa ) kuacha sana Kumshutumu Spika Ndugai 'Kimazoea' au kwa 'Kumkariri' na sasa tugeuke 'Kuwakosoa' hawa CHADEMA ili mwisho wa Siku tutende Haki kwa wote na tusijiingize katika 'Dhambi' ya kuja Kuitwa Wanafiki, Waongo na Wazushi tu wa Masuala.
CHADEMA anzeni 'Kujitathmini' haraka.
Vilaza sana mno sijui ndan ya vichwa vyao mna niniAkili za Mataga kazi kwelikweli
Tumia 'Hoja' katika Kuchangia uwapo JF.Kwhy miaka 5 ya uspika wa ndugai amesimamia nn cha maana Kama sio kupoteza muda na akina Lema ..Ni kiongozi wa hovyo never ever happen under strong institution as parliament
Katika Watu 'Brainy' nawe 'Moron' upo?Ni
Vilaza sana mno sijui ndan ya vichwa vyao mna nini
Umesahau kuwa ww ndio agent wa siasa chafu humu mzee wa kusifu na kuabudu!!!Tumia 'Hoja' katika Kuchangia uwapo JF.
PoaCcm gang bado mnamaumivu kalagosi kuondoka. Inawauma nini sasa nchi nzima zina mna wabunge wote 99%?
Genta bwana una superioty complex sijui huko unakoishi unakaa na vilaza then wewe ndio unajiona una akili sana.😅😅Katika Watu 'Brainy' nawe 'Moron' upo?
Huyu ndio miongoni mw awasiojulikana. Anajitahidi kuunga mkono Mama lakini nafsi inamkatalia.Umesahau kuwa ww ndio agent wa siasa chafu humu mzee wa kusifu na kuabudu!!!
Au ilikuwa ni akili ya fursa . Hoja yako ww Ni ipi happy kuunga mkono uvunjifu wa kanuni za muhimili..ww huna hoja Kama Mataga wengine tu
Hauna 'IQ' kubwa ya 'Kujibizana' nami.Umesahau kuwa ww ndio agent wa siasa chafu humu mzee wa kusifu na kuabudu!!!
Au ilikuwa ni akili ya fursa . Hoja yako ww Ni ipi happy kuunga mkono uvunjifu wa kanuni za muhimili..ww huna hoja Kama Mataga wengine tu
Kumbe ngoja niachane naye huyo jamaa Hana hojaHuyu ndio miongoni mw awasiojulikana. Anajitahidi kuunga mkono Mama lakini nafsi inamkatalia.
Hii ndiyo hoja ya msingi kabisa kabla ya hata hiyo barua ya kuwafuta uanachama. Sababu za kuwafuta uanachama zilianzia hapo. Hili naona watu hawalipi uzito.CDM haijawahi kupereka majina tume ya uchaguzi ili hao covid 19 wateuliwe uhuni unaanzia hapo
Ni mlopokaji tu hanaga jipya miaka yote.Kumbe ngoja niachane naye huyo jamaa Hana hoja