Kama Barua yenu kwa Spika Ndugai imeitwa 'Kipeperushi' mkienda kukutana na Rais Samia angalieni tu asiwaite 'Wapuuzi' pia

Unachangia ki CHADEMA na si KIAKILI.
Kwhy miaka 5 ya uspika wa ndugai amesimamia nn cha maana Kama sio kupoteza muda na akina Lema ..Ni kiongozi wa hovyo never ever happen under strong institution as parliament
 
Bado unaabudu makucha ya maiti aliyeko kuzimu now? Huwezi kuwa sawa kichwani wewe. Anyway Mungu ni mwema nyir mkiobaki hamna madhara kivile.
 
Sukuma gang mnapoteza muda. Alishindwa Ibilisi Jiwe ninyi mtaweza wapi? CHADEMA is there to stay forever.
 
Ungepost na hicho kinachodaiwa kipeperushi mkuu, tuone ni kipeperushi au la.
 
Kwhy miaka 5 ya uspika wa ndugai amesimamia nn cha maana Kama sio kupoteza muda na akina Lema ..Ni kiongozi wa hovyo never ever happen under strong institution as parliament
Tumia 'Hoja' katika Kuchangia uwapo JF.
 
Tumia 'Hoja' katika Kuchangia uwapo JF.
Umesahau kuwa ww ndio agent wa siasa chafu humu mzee wa kusifu na kuabudu!!!

Au ilikuwa ni akili ya fursa . Hoja yako ww Ni ipi happy kuunga mkono uvunjifu wa kanuni za muhimili..ww huna hoja Kama Mataga wengine tu
 
Huyu ndio miongoni mw awasiojulikana. Anajitahidi kuunga mkono Mama lakini nafsi inamkatalia.
 
Kwa mtu mwenye akili timamu kabla hata ya kuijadiri barua ya Chadema to spika angejiuliza, je utaratibu wa kuwapata hao wabunge wa viti maalumu ulifuatwa? Mjinga mmoja anaweza kujibu haraka haraka tu kwamba yes ulifatwa, swali litakua, hivi Husna alijaza saa ngapi zile form while alikua rumande? Enzi za Mwendazake, Chadema walikua na jeuri ya kwenda kumjazisha mwana chama wao magereza form tena usiku na wakafanikiwa hadi kumtoa? Mleta uzi wewe ni msomi wa degree ya SAUT, basi usifanye watu either waidharau degree yako au chuo ulicho soma.
 
Umesahau kuwa ww ndio agent wa siasa chafu humu mzee wa kusifu na kuabudu!!!

Au ilikuwa ni akili ya fursa . Hoja yako ww Ni ipi happy kuunga mkono uvunjifu wa kanuni za muhimili..ww huna hoja Kama Mataga wengine tu
Hauna 'IQ' kubwa ya 'Kujibizana' nami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…