Mnyambo na roho mbayaHiki ni kipindi ambacho kanisa (Kwa ujumla) linapitia madhila makuubwa sana tangu kuumbwa Kwa taifa hili, Kwa kosa gani!!? Kwa kosa la kusema
"Utekaji ni mbaya, uuaji haufai, haki ni lazima Kwa wananchi, katiba mpya ni msingi wa utawala bora, ufisadi ni dhambi, tunapifa vita uonevu"
Hayo ndiyo makosa makuu kabisa ambayo kanisa imefanya Kwa serikali hii.
Kanisa Katoliki likiwa kiranja wa makanisa na imani ya kikristu kwenye taifa hili ninaliomba lijitenge na waumini wasiotimiza wajibu Kwa kanisa kama ilivyo ada. Ninaamini Innocent Bashungwa ni mkatoliki (japo Sina uhakika sana) hivyo kanisa lingemtenga rasmi kupata huduma za kiroho za aina yoyote Kwa kuwa amekuwa sehemu ya kulitesa kanisa la Mungu.
Sisi wakatoliki tuna mapenzi makubwa na wakristu wenzetu bila kujali madhehebu yao kwahiyo kama Bashungwa anahusika kuwatesa wakristu wengine ni sawa kabisa na kuwatesa wakristu wa kanisa Katoliki. Huwezi kutesa ndugu zako katika Kristu kwa kumfuata maagizo ya kiongozi wako mpagani hapo ni sawa na kuabudu miungu mwingine huku ukiendelea kuchafua sakramenti takatifu, Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu na yeye Hana ushirika na watu wanaowaabudu 'miungu' ya dunia hii maana yeye alisema hatuwezi kutumikia mabwana wawili. Kitendo cha kulinyanyasa kanisa la Ufufuo na Uzima na waumini ni sawa na kitendo cha kumtukana Yesu na kukufuru huduma inayotendeka Kwa jina lake
Kuishi ni Kristu na kufa ni faida
Sio kweli, hakuna Kiongozi wa Katoliki mwenye mapenzi na madhehebu ya kilokole.Hiki ni kipindi ambacho kanisa (Kwa ujumla) linapitia madhila makuubwa sana tangu kuumbwa Kwa taifa hili, Kwa kosa gani!!? Kwa kosa la kusema
"Utekaji ni mbaya, uuaji haufai, haki ni lazima Kwa wananchi, katiba mpya ni msingi wa utawala bora, ufisadi ni dhambi, tunapifa vita uonevu"
Hayo ndiyo makosa makuu kabisa ambayo kanisa imefanya Kwa serikali hii.
Kanisa Katoliki likiwa kiranja wa makanisa na imani ya kikristu kwenye taifa hili ninaliomba lijitenge na waumini wasiotimiza wajibu Kwa kanisa kama ilivyo ada. Ninaamini Innocent Bashungwa ni mkatoliki (japo Sina uhakika sana) hivyo kanisa lingemtenga rasmi kupata huduma za kiroho za aina yoyote Kwa kuwa amekuwa sehemu ya kulitesa kanisa la Mungu.
Sisi wakatoliki tuna mapenzi makubwa na wakristu wenzetu bila kujali madhehebu yao kwahiyo kama Bashungwa anahusika kuwatesa wakristu wengine ni sawa kabisa na kuwatesa wakristu wa kanisa Katoliki. Huwezi kutesa ndugu zako katika Kristu kwa kumfuata maagizo ya kiongozi wako mpagani hapo ni sawa na kuabudu miungu mwingine huku ukiendelea kuchafua sakramenti takatifu, Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu na yeye Hana ushirika na watu wanaowaabudu 'miungu' ya dunia hii maana yeye alisema hatuwezi kutumikia mabwana wawili. Kitendo cha kulinyanyasa kanisa la Ufufuo na Uzima na waumini ni sawa na kitendo cha kumtukana Yesu na kukufuru huduma inayotendeka Kwa jina lake
Kuishi ni Kristu na kufa ni faida
Ameamua kutumikia mshahara wenye damu za watu na vilioMwanzoni alipowekwa kwenye Wizara nyingine, nilifikiri ana kitu. Ila tangu amewekwa kwenye hiyo Wizara iliyojaa rushwa na matendo mengi ya uonevu, sura yake halisi ndiyo imeanza kuonekana.
Ni huzuni,Kitendo cha kulinyanyasa kanisa la Ufufuo na Uzima na waumini ni sawa na kitendo cha kumtukana Yesu na kukufuru huduma inayotendeka Kwa jina lake
Nikiwa Kanisani huwa sijishughulishi kushika wala kuangalia chochote kwenye simu ila masikio yangu hayanidanganyi hakuna Padre wala Askofu wa kikatoliki anaye embrace waumini wake waingie kwenye ulokole..Nioneshe ushahidi wowote ule hata wa video unaoonesha kiongozi wa kikatoliki akiongelea kanisa lolote vibaya achia mbali walokole
Duh,Kwa kosa la kusema
"Utekaji ni mbaya, uuaji haufai, haki ni lazima Kwa wananchi, katiba mpya ni msingi wa utawala bora, ufisadi ni dhambi, tunapifa vita uonevu"
Hayo ndiyo makosa makuu kabisa ambayo kanisa imefanya Kwa serikali hii.
Hapa umeongea kitu cha tofauti tena kulinganisha na awaliNikiwa Kanisani huwa sijishughulishi kushika wala kuangalia chochote kwenye simu ila masikio yangu hayanidanganyi hakuna Padre wala Askofu wa kikatoliki anaye embrace waumini wake waingie kwenye ulokole..
Kama ni mkatoliki na ameoa basi sakramenti zote za msingi amezipata ikiwepo kipaimaraAdhabu ya kulitesa kanisa ni mbaya sana halijawahi kumuacha yeyote ktk hilo salama.nahisi Bashungwa hajawahi kupitia kipaimara au hajui maana ya ukristo.
Nafikiri Mama amemuweka makusudi,sio bureMwanzoni alipowekwa kwenye Wizara nyingine, nilifikiri ana kitu. Ila tangu amewekwa kwenye hiyo Wizara iliyojaa rushwa na matendo mengi ya uonevu, sura yake halisi ndiyo imeanza kuonekana.
Ndugu yangu, Bashungwa ni kibaraka, mawaziri wote ni kama wewe, wametoka matopeni kwenye vile vibanda. Hawawezi kuchezea shilingi chooni. Ikitumbukia shimoni hakuna kitu. Wanajua kabisa wanafanya ushenzi lakini lazima wamtumikie bi Ushungi kwa msala upitaoHiki ni kipindi ambacho kanisa (Kwa ujumla) linapitia madhila makuubwa sana tangu kuumbwa Kwa taifa hili, Kwa kosa gani!!? Kwa kosa la kusema