Kama Bashungwa ni mkatoliki naomba kanisa limfungie sakramenti zote

Biblia imetuasa kuheshimu mamlaka za nchi ..Sasa kama atutaki kuheshimu mamlaka lazma tutalipa gharama. Naona sasa tunataka kubariki siasa za udini kwenye nchi yetu.

Usiwe kasuku wa kukariri ili kuulinda uovu. Biblia haisomwi kama kitabu cha hadithi. Usisome mstari mmoja na kuanza kupiga kelele kuwa umeijua biblia.

Nenda kasome tena biblia, ukaone ni mara ngapi manabii wa Mungu walitoa maonyo makali kwa wafalme, na wafalme waliokaidi wakapokea adhabu ya Mungu? Unataka kusema hao manabii wa Mungu walikiuka maagizo ya Mungu kwa kuwaeleza watawala uovu wao? Baadhi ya maelekezo ya kwenye biblia, ni specific kwa events zilizokuwa zikiendelea mahali na wakati fulani. Yaani agizo lilitolewa kwa sababu kulikuwa na tukio fulani, na agizo lilitolewa kuhusiana na tukio hilo. Umewahi pia kuona kwanye biblia, imeandikwa kuwa wanawake muiingiapo hekaluni fumbeni vinywa vyenu, kaeni kimya, msinene chochote? Je, ni kweli wanawake hawatakiwi kunena chochote hekaluni. Kama ni mtaalamu wa maandiko unajua kabisa kuwa ujumbe ule haikukusudiwa kwa makanisa yote, bali lile lilikuwa ni agizo specific kwa kanisa la mahali pale kutokana na vitendo vya wanawake walipokuwa wamepewa nafasi ya uongozi ndani ya kanisa, wakaamini kuwa sasa wao wamekuwa bora zaidi kuliko wanaume. Mtume alipopewa taarifa hiyo, akawazuia wanawake wale kuendelea na uongozi katika kanisa lile.

NB: Utawala unaotenda uovu unatakiwa kuonywa na watu wa Mungu. Mkristo hustahili kuunga mkono kwa namna yoyote ile utawala ambao unajua kuwa ni dhalimu, unaodhulumu haki za binadamu wenzako au zako mwenyewe.
 
Hicho Chama kilivyo na ushetwani hata wakimnyima hizo huduma unafkiri atakwazika.Mbona watafutahi!!
 
Maandishi hayo yanaonyesha popote yakihusu "ukatoliki" wangu? Siwezi kujibu nikiwa wa dini yoyote au mTanzania tu bila ya kuhusishwa na dini?
Amri ya 8 imeandikwa usiseme uongo.
 
Amri ya nani?
Mara hii umekwisha toka kwenye mambo ya "ulaghai" anaoutumia Samia hadi kwenye Amri? Kazitunga lini hizo Amri?
Amri za Mungu ninayemuamini, ya nane imeandikwa usiseme uongo au usimshuhudie jirani yako uongo. Haipendezi na haikubaliki.
 
Sasa niambie huko kwenye GENGE la Samia ni mara ngapi maovu makubwa hata zaidi ya hiyo Amri ya nane yamefanyika. Hayo kweli "yanapendeza na kukubalika"?
Yaani jana tumezungushana karibu siku nzima, halafu leo unakuja na haya!
 
Sasa niambie huko kwenye GENGE la Samia ni mara ngapi maovu makubwa hata zaidi ya hiyo Amri ya nane yamefanyika. Hayo kweli "yanapendeza na kukubalika"?
Uovu hata ukifanywa na Papa wa RC utabaki kuwa uovu, haijalishi umefanywa na nani.
 
SAWA. Sasa niambie, jana nzima tumezungushana karibu siku nzima; halafu leo unajigeuza kuwa kama kinyonga?

Tukubaliane, mahali popote penye uovu, bila kujali ni nani mhusika, uovu huo ni lazima tuupinge, siyo kwa sababu ya hizo Amri tu unazozisema hapa; bali kama waTanzania tu tunaoilitakia taifa letu mema.
 
Upo sahihi. Uovu haukubaliki abdani.
 
Samahani mkuu, 'Eti Nani vile?'
Wewe huonyeshi dalili zozote za unachodai; kwamba ni mkristo. Andiko lako liko utupu kabisa.

Hata hivyo, ngoja nikwambie jambo. Acha kutegemea au kuchochea mfarakanyo wa kidini ndani ya nchi hii. Kama wewe ni wa upande wa Samia Suluhu Hassan na Genge lake; sasa baada ya kuteka CCM, usitafute kuivuruga Tanzania kupitia kwenye imani kama Samia anavyofanya sasa. Hilo halitawasalimisha.

Huyo Bashungwa unayemzungumzia atawajibishwa na waTanzania, siyo wakristo kama unavyotaka wewe.

Hovyo Kabisa, watu wa aina yenu.
Watanzania wakitaka watamuwajibisha Kwa wakati ila kanisa lina taratibu zake katika kuwajisha washirika wake haiihusiani na utanzania wako
 
Ndugu yangu, Bashungwa ni kibaraka, mawaziri wote ni kama wewe, wametoka matopeni kwenye vile vibanda. Hawawezi kuchezea shilingi chooni. Ikitumbukia shimoni hakuna kitu. Wanajua kabisa wanafanya ushenzi lakini lazima wamtumikie bi Ushungi kwa msala upitao
Yuko wapi lengai ole sabaya
 
Watanzania wakitaka watamuwajibisha Kwa wakati ila kanisa lina taratibu zake katika kuwajisha washirika wake haiihusiani na utanzania wako
Hadi afikie hatua hiyo anayoshutumiwa nayo, hilo kanisa litamwajibisha vipi?
Hayupo kanisani, hashiriki tena huko; kanisa litakwenda kumkamata mitaani na kumwajibisha?
 
Usiwe kasuku wa kukariri ili kuulinda uovu. Biblia haisomwi kama kitabu cha hadithi. Usisome mstari mmoja na kuanza kupiga kelele kuwa umeijua biblia.

Nenda kasome tena biblia, ukaone ni mara ngapi manabii wa Mungu walitoa maonyo makali kwa wafalme, na wafalme waliokaidi wakapokea adhabu ya Mungu? Unataka kusema hao manabii wa Mungu walikiuka maagizo ya Mungu kwa kuwaeleza watawala uovu wao? Baadhi ya maelekezo ya kwenye biblia, ni specific kwa events zilizokuwa zikiendelea mahali na wakati fulani. Yaani agizo lilitolewa kwa sababu kulikuwa na tukio fulani, na agizo lilitolewa kuhusiana na tukio hilo. Umewahi pia kuona kwanye biblia, imeandikwa kuwa wanawake muiingiapo hekaluni fumbeni vinywa vyenu, kaeni kimya, msinene chochote? Je, ni kweli wanawake hawatakiwi kunena chochote hekaluni. Kama ni mtaalamu wa maandiko unajua kabisa kuwa ujumbe ule haikukusudiwa kwa makanisa yote, bali lile lilikuwa ni agizo specific kwa kanisa la mahali pale kutokana na vitendo vya wanawake walipokuwa wamepewa nafasi ya uongozi ndani ya kanisa, wakaamini kuwa sasa wao wamekuwa bora zaidi kuliko wanaume. Mtume alipopewa taarifa hiyo, akawazuia wanawake wale kuendelea na uongozi katika kanisa lile.

NB: Utawala unaotenda uovu unatakiwa kuonywa na watu wa Mungu. Mkristo hustahili kuunga mkono kwa namna yoyote ile utawala ambao unajua kuwa ni dhalimu, unaodhulumu haki za binadamu wenzako au zako mwenyewe.
Basi kauondoe huo mstari kwenye Biblia. Catherine Ruge alikuja na maoni mbadala dhidi ya Mwkt.wetu hapo hapo akaondolewa kwenye nafasi.Je,sisi ndiyo tunadai Demoghasia?
 
Back
Top Bottom