Kama Bashungwa ni mkatoliki naomba kanisa limfungie sakramenti zote

Kama kula ameiba na kula vya kutosha kama anategemea kula milele basi ni mbumbumbu wa kutupwa aijui nimepatia ?
 
Na lazima ujue sakrament ziko nyingi, soma kwanza Katekismu ( Catechism)

Bila ya catechism huwezi kupata kipaImara, yaani kuanza kula sakramenti
 
Kama kula ameiba na kula vya kutosha kama anategemea kula milele basi ni mbumbumbu wa kutupwa aijui nimepatia ?
Hawa watu hawana kitu, pesa nyingi wanategenea kuhongwa na lazima wahonge, na gharama ya kuishi baada ya kazi ni kubwa. Ukizoea kuishi kwenye hekalu ukiwa waziri ukiachishwa utaenda kuishi Manzese? Hapana lazima u-maintain - hizo gharama gharama za ku-maintain ni kubwa. Ndiyo unakuta wengi wao wanaoshia kama yule masikini anatembea kutoka Buguruni hadi Bungoni.
 
Naun
Naunga mkono hoja, huyu hawezi kuwa mkristi na akawatesa wakristu wengine, atafute dhehebu lake
 
Biblia imetuasa kuheshimu mamlaka za nchi ..Sasa kama atutaki kuheshimu mamlaka lazma tutalipa gharama. Naona sasa tunataka kubariki siasa za udini kwenye nchi yetu.
 
Biblia imetuasa kuheshimu mamlaka za nchi ..Sasa kama atutaki kuheshimu mamlaka lazma tutalipa gharama. Naona sasa tunataka kubariki siasa za udini kwenye nchi yetu.
Biblia ipi?
Nebukatreza na Daniel nani alikua mtawala ?

Wewe ni mpuuzi wa mwisho ujue
 
Biblia ipi?
Nebukatreza na Daniel nani alikua mtawala ?

Wewe ni mpuuzi wa mwisho ujue
Bora umeliona ilo.... Lazma tutii sheria na mamlaka zote. Punguza mihemko na stress za bure. Okay,basi mfungie huduma Waziri Bashungwa
 
Bora umeliona ilo.... Lazma tutii sheria na mamlaka zote. Punguza mihemko na stress za bure. Okay,basi mfungie huduma Waziri Bashungwa

Huna tofauti na ponjoro wewe,Daniel alipinga mtawala Mwbukatreza na akashinda vita.

Ndio maana nikakuuliza biblia ipi?

Daudi alikuaje Mfalme?
Musa aliwezaje wanaisrael Misri?
Yaani wewe kuitaja biblia kwenye kupigania haki umekosea sana
 
Naungana na viongozi wa Christian ila there is something behind akiingia muislamu lazima mpige vita kwasababu fungu lenu kutoka serikalini linazuia nothing else mama kila alivyokatili hajamzidi jiwe alimteka mpaka mo dewji na roma.
 
Huna tofauti na ponjoro wewe,Daniel alipinga mtawala Mwbukatreza na akashinda vita.

Ndio maana nikakuuliza biblia ipi?

Daudi alikuaje Mfalme?
Musa aliwezaje wanaisrael Misri?
Yaani wewe kuitaja biblia kwenye kupigania haki umekosea sana
Mwbukatreza ni nani au nini mkuu?
 
Wine za Dodoma na mikate ya Bakhresa imejaa tele
 
ONA ABASHUNGWA LILIVYO NA ROHO MABAY LI NYAMBO
Sio Bashungwa tu hiyo wizara ya mambo ya ndani ni ngumu hata tukikupa wewe tutakulaumu
Kumbuka tulimlaumu Masauni, Kangi Lugola, Mwigulu n.k
 


Ni sahihi ulichokisema.
ifahamike pia kuwa, kwa habari za ndani ya vyombo vya usalama, ni kwamba Fr. Dr. Kitima alishambuliwa kwa maagizo ya Bashungwa. Maagizo yake kwa wauaji, ni kwamba aliwaambia kuwa ukosoaji wa viongozi wote wa dini kwa serikali siyo hatari kwa ushindi wa CCM, isipokuwa ule wa Katibu wa Baraza la Maaskofu, Fr. Dr. Kitima, na akaagiza kuwa Fr. Kitima adhibitiwa mara moja. Siku hiyo hiyo, baada ya agizo la Bashungwa, wauaji wakaenda kumshambulia Fr. Kitima, kwa lengo la kumwua. Tunamshukuru Mungu alimlinda mtumishi wake.

Bashungwa kwa sasa ni mwumini jina, bila shaka hakuna anachokiamini katika dini. Hakuna kiongozi mwumini mkristo anayeweza kuelekeza mauaji ya mtu yeyote, achilia mbali kiongozi wake wa dini, kwaajili ya kulinda cheo chake.
 
Samahani mkuu, 'Eti Nani vile?'
Wewe huonyeshi dalili zozote za unachodai; kwamba ni mkristo. Andiko lako liko utupu kabisa.

Hata hivyo, ngoja nikwambie jambo. Acha kutegemea au kuchochea mfarakanyo wa kidini ndani ya nchi hii. Kama wewe ni wa upande wa Samia Suluhu Hassan na Genge lake; sasa baada ya kuteka CCM, usitafute kuivuruga Tanzania kupitia kwenye imani kama Samia anavyofanya sasa. Hilo halitawasalimisha.

Huyo Bashungwa unayemzungumzia atawajibishwa na waTanzania, siyo wakristo kama unavyotaka wewe.

Hovyo Kabisa, watu wa aina yenu.
 
Mwanzoni alipowekwa kwenye Wizara nyingine, nilifikiri ana kitu. Ila tangu amewekwa kwenye hiyo Wizara iliyojaa rushwa na matendo mengi ya uonevu, sura yake halisi ndiyo imeanza kuonekana.
Huyo mwonekano wake tu unaonyesha kuwa anayo matatizo ndani yake.

Kwanza kabadilishwa wizara nyingi sana, inawezekana yeye sasa hivi ndiye waziri anaye shikilia rekodi ya kuteuliwa katika wizara nyingi kuliko mtu mwingine yeyote tokea tupate uhuru.

Pili, kwa kuteuliwa kwake kwenye wizara hiyo ni kama kawekwa kamba shingoni. Masauni alibadilishwa toka wizara hiyo kama kumuepusha na haya yanayotokea sasa. Mzigo katupiwa huyu anayeonekana uso na maumbile kama mtu mwenye matatizo ya utaahira.
 
Sio kweli, hakuna Kiongozi wa Katoliki mwenye mapenzi na madhehebu ya kilokole.
Ni kitu gani kinakufanya uamini hivyo. Ulisha sikia mahubiri yoyote toka kwa hao viongozi wa dini kuhusu hao wengine, au hizi ni hisia zako tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…