Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Vipi wachina,wahindi kimetokea wapi?
 
Hamna mwenye uhakika na jibu la swali lako ,ila majibu yataegemea kwenye theory. Mimi binafsi mazingira/climate ndiyo yaliyosababisha tofauti za rangi mfano Africa na Australia zipo kwenye tropical na asili ya watu wake ni weusi,
 
Evolution inaelezea jinsi watu tunavotofautiana, kuna mambo mengi sana ndani yake yanayofanya species aina moja kua na genes tofauti, mazingira ikiwa ni kitu mojawapo, mwili unatend kuadopt kulingana na mazingira, sasa kwa binadamu ambaye anakaa sehemu za joto, over period of years lazima changes zitokee mfano anakuwa na nywele fupi sana sababu hakai kwenye baridi, sasa mwili unakua exposed kwenye jua, hapo ndipo melanin inachukua kazi yake sasa.

Melanin inafanya ngozi yetu kua nyeusi ili kuweza kuishi bila kuhitaji vitu kama sunscreen ambao wenzetu weupe huzitumia sana wakati wa jua kali. Hakuna kitu kama laana wala nini, its simply evolution tu
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Vitabu vya dini vimeandikwa na watu kama sisi na kama ilivyokawaida mapungufu ia binadamu kuna uongo mwingi. Hata mimi ninavitabu vyangu vya dini na watu wanatumia.

So akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
1. Mimi nina amini kuwa mwanadamu wa kwanza alikuwa mweusi sababu ukisoma maandio utaona Mungu alifinyanga udongo kisha akapulizia pumnzi ndio mwanadamu aka kama alivyo sasa jiulize udogo ni rangi gani utapata jibu

2. Watu weupe wametokana na kizazi cha kaini baada ya kumuua ndugu yake Mungu alimlaani na kupigwa chapa ya muhuri ambayo ndio ngozi nyeupe, (ukirudi nyuma utangundua nyoka/ shetani aliwadanganya wakila tunda basi watajua mema na mabaya maana ake watakuwa na akili nyingi) ndio maana ngozi nyeupe ni werevu zaidi yetu sisi weusi.

NB: Ndio maana wanasema fuvu la mtu wa kwanza limepatikana ngorongoro
 
1.mimi nina amini kuwa mwanadamu wa kwanza alikuwa mweusi sababu ukisoma maandio utaona Mungu alifinyanga udongo kisha akapulizia pumnzi ndio mwanadamu aka kama alivyo sasa jiulize udogo ni rangi gani utapata jibu

2. Watu weupe wametokana na kizazi cha kaini baada ya kumuua ndugu yake Mungu alimlaani na kupigwa chapa ya muhuri ambayo ndio ngozi nyeupe, (ukirudi nyuma utangundua nyoka/ shetani aliwadanganya wakila tunda basi watajua mema na mabaya maana ake watakuwa na akili nyingi) ndio maana ngozi nyeupe ni werevu zaidi yetu sisi weusi.

NB: ndio maana wanasema fuvu la mtu wa kwanza limepatikana ngorongoro

Musubati amang'ana? Duh! kwa hiyo kufinyanga udongo, udongo alitumia mweusi au? haha, mbona nimeona wa njano, mwekundu.

Na hiyo ya Kaini noma sana hiyo umeisoma wapi au unahisi? kua makini sana, biblia usiwe unaitafsiri ki-movie movie au kwa kile unachosikia mtaani, yani umenichekesha kweli leo...
 
Namaiya huoile, I made ur evening. Me nimesema ninachoamini kila kitu ni imani tu wengine wanaamini kuwa sisi tumelaaniwa nk

Udongo wa njano upo ni ule wa chini kabisa mfinyanzi ni wa rangi gani kama sio brown
 
1.mimi nina amini kuwa mwanadamu wa kwanza alikuwa mweusi sababu ukisoma maandio utaona Mungu alifinyanga udongo kisha akapulizia pumnzi ndio mwanadamu aka kama alivyo sasa jiulize udogo ni rangi gani utapata jibu

2. Watu weupe wametokana na kizazi cha kaini baada ya kumuua ndugu yake Mungu alimlaani na kupigwa chapa ya muhuri ambayo ndio ngozi nyeupe, (ukirudi nyuma utangundua nyoka/ shetani aliwadanganya wakila tunda basi watajua mema na mabaya maana ake watakuwa na akili nyingi) ndio maana ngozi nyeupe ni werevu zaidi yetu sisi weusi.

NB: ndio maana wanasema fuvu la mtu wa kwanza limepatikana ngorongoro

I see! kumbe fuvu la Adam limepatikana olduvai George? very interesting sasa naamini kweli Tanzania inaongoza kwa watu wenye Iq ndogo.

bila shaka fuvu la Eva litapatikana msoga.
 
Am profeseri!!/ktk my readings of years ago! dunia ilikuwapo na viumbe wote walikuwapo although ktk survival baadhi ya viumbe waliweza kutoweka lkn binadamu kwa rangi zao na asili zao walikuwepo kama viumbe vya sayari hii!

Dini za mwanzo pia zilikuwepo kwa wakati huo na aliabudiwa father "sigil"the great evolution ilizidi kuendelea huku watu wakizidi kuamka na kupambazuka interception religion zikizidi kujitokeza ukrist mara hindu mara islamu which are so recently religion/pia baadhi ya sign na alama za diini zetu za sasa zimetoka kwa father sigil km nyota mwezi msalaba double keys inaendelea......
 
Namaiya huoile, I made ur evening

Me nimesema ninachoamini kila kitu ni imani tu wengine wanaamini kuwa sisi tumelaaniwa nk

Udongo wa njano upo ni ule wa chini kabisa mfinyanzi ni wa rangi gani kama sio brown

Mbuya uli mona otata! hapo kweli iman imechukua nafasi, bt kiuhalisia musubhati umweto umenipeleka chaka.
 
Hamna mwenye uhakika na jibu la swali lako ,ila majibu yataegemea kwenye theory. Mimi binafsi mazingira/climate ndiyo yaliyosababisha tofauti za rangi mfano Africa na Australia zipo kwenye tropical na asili ya watu wake ni weusi,

So unaamini at first binadamu alikua mweupe lakini mazingira/climate yakafanya watu wakawa weusi brown etc basi kama ivo tungekua tukizaa watoto at first wawe weupe then mazingira yawafanye weusi coz kama mtu umebadilishwa na mazingira/climate gene yako bado nyeupe, so i beg to disagree wit day buddy!
 
you better take a note in genetic mutation
 
Vitabu vya dini vinadanganya, mtu wa kwanza alikuwa ni mweusi and he was from afrique.

The rest are fallacies, Ushaona lini mtu mweupe akazaa mweusi,
Ila weusi huzaa weupe, Mf albino na wengne huzaa wazungu kabisa, mf wale couples wa ki nigeria, so mazee vitabu vya dini visiwapumbaze, sisi ndio original.
 
mh mi hapa naisi tutashikana pabaya rangi nyeusi na nyeupe ivi wadhungu ni weupe au brown
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Ni kweli kabisa Adam na Eva hawakuwa " WEUSI" kwa sababu kundi la weusi limeanzishwa mwaka jana tu, na Adam na Hawa waliishi miaka elfu saba iliyo pita.
 
Back
Top Bottom