Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Vitabu vya dini vimeandikwa na watu kama sisi na kama ilivyokawaida mapungufu ia binadamu kuna uongo mwingi. Hata mimi ninavitabu vyangu vya dini na watu wanatumia.
So akili ya kuambiwa changanya na yako.

Ndgu nimecheka sana! Yaani cjui watu mnafikiriaga nini Kwahiyo wapo watu wanatumia Vitabu vyako kuhubiri daah....! Nway ila naamini mleta mada atakuwa amekuelewa vzr...!
 
I see! kumbe fuvu la Adam limepatikana olduvai George? very interesting sasa naamini kweli Tanzania inaongoza kwa watu wenye Iq ndogo.

bila shaka fuvu la Eva litapatikana msoga.

Nimecheka sana duh....! Kumbe mijadala km hii inasaidia kujua Tuko ufahamu kiasi gani wa mambo daah.....!
 
hii mada watu watapakana sana matope

Shida yetu waBongo kila kitu tunajua ndomana Inatakiwa usichokijua utulie wanaojua wakuelimishe kwahiyo km Mtu kaongea kitu ambacho hata yy hana uHakika nacho akipakwa matope nadhani ni HAKI yake....!
 
Mungu yupo ila dini ni sanaa tupu na utumwa. mitume wa mashark ya kati mnawakubal wa kbongo hamuwatak akat nao wanadai kuoteshwa vile vile ka wale wa mashark ya kati. DINI SANAA TUPU
 
kutokana na sabau za kijiografia mtu wa kwanza alipoumbwa alikaa sehem fulani na shemu zingine zilikua tupu hazina watu walipozaana ndio watu wakazagaa sehemu tofauti.

kwanini watu weusi?
Jibu ni sabau za kijografia mfano africa imepitiwa na mstari wa ikweta mabara yaliyopitiwa na mstari huu yanakua na joto sana kwa hiyo sababu hzi zinapelekea ngozi kutengeneza melanini nyingi sana ukiangalia america ya kusini nchi kama venezuela ,brazili na peru watu ni weusi ukija africa watuu ni weusi ukienda indonesia malyasia na nk unapata watu weusi pia ila kadri watu wanapozagaa na ndio wanachanganya damu
 
Mungu yupo ila dini ni sanaa tupu na utumwa. mitume wa mashark ya kati mnawakubal wa kbongo hamuwatak akat nao wanadai kuoteshwa vile vile ka wale wa mashark ya kati. DINI SANAA TUPU

Kwa sisi waislam dini ni mfumo mzima jins mwanadam anavyoishi kwa tafsiri hii hakuna binadam anaeishi nje ya dini either dini sahihi au kinyume chake ikiwa unaamini mungu bas unapaswa kuamini kuwa Mungu hakumuacha binadam aishi hivi hivi alimuwekea mipaka na alimuelekeza kwa jins gani aishi hyo sasa ndo dini sahihi.

Turudi kwenye mada tunaamini kuwa Ibrahim alizaa mtoto Ismail ambaye ndo chanzo cha waarabu wote na Isiaka ambaye kwao waisrael walitoka na asili ya wato weusi wametoka humo.
 
Mungu yupo ila dini ni sanaa tupu na utumwa. mitume wa mashark ya kati mnawakubal wa kbongo hamuwatak akat nao wanadai kuoteshwa vile vile ka wale wa mashark ya kati. DINI SANAA TUPU

kwa sisi waislam dini ni mfumo mzima jins mwanadam anavyoishi kwa tafsir hi hakuna binadam anaeishi nje ya dini either din sahh au kinyume chake ikiwa unaamini mungu bas unapaswa kuamini kuwa mungu hakumuacha binadam aishi hv hv alimuwekea mipaka na alimuelekeza kwa jins gani aishi hyo sasa ndo dini sahh, turud kwenye mada tunaamini kuwa ibrahm alizaa mtoto ismail ambaye ndo chanzo cha waarabu wote na isi aka ambaye kwao waisrael walitoka na asili ya wato weus wametoka humo
 
evolution inaelezea jinsi watu tunavotofautiana, kuna mambo mengi sana ndani yake yanayofanya species aina moja kua na genes tofauti, mazingira ikiwa ni kitu mojawapo, mwili unatend kuadopt kulingana na mazingira, sasa kwa binadamu ambaye anakaa sehemu za joto, over period of years lazima changes zitokee mfano anakuwa na nywele fupi sana sababu hakai kwenye baridi, sasa mwili unakua exposed kwenye jua, hapo ndipo melanin inachukua kazi yake sasa, melanin inafanya ngozi yetu kua nyeusi ili kuweza kuishi bila kuhitaji vitu kama sunscreen ambao wenzetu weupe huzitumia sana wakati wa jua kali.... Hakuna kitu kama laana wala nini, its simply evolution tu

Right now in the Arab Gulf Region the temp is above 40deg celsius sababu iko jua kali sana why the native arab people are of different diverse shades and mostly not black and have softer hair?

Evoulution with its al good intention it is biased against non whites and was used politically mostly against black people. Read about the darwinism study called Teleology.
 
Right now in the Arab Gulf Region the temp is above 40deg celsius sababu iko jua kali sana why the native arab people are of different diverse shades and mostly not black and have softer hair? Evoulution with its al good intention it is biased against non whites and was used politically mostly against black people. Read about the darwinism study called Teleology.

Nikuulize kitu, unaamini kuwa iko jamii ya panya ambayo haifi kwa sumu ya panya? si hao tu kusikia dawa flani haitibu kwa asilimia 100% malaria ama ugonjwa flani na mwanzoni ilikuwa inatibu? panya hawa huzaliwa hivyo na hii ni kutokana na badiliko la mmoja kati ya ancestors wao.je unadhani tukio hili hutokea nusu saa?

Pengine thousands of years later sehemu hiyo itakuwa na weusi who knows? mabadiliko huletwa ili watu waendane na mazingira.eneo hilo kuna kipindi kikali cha joto lakini kumbuka wakati evolution inatokea hakukuwa na air conditioned houses wala magari yenye air condition.

Kama nilivyosema panya alibadilika ili aendane na mazingira mtu huyu wa leo anabadilikaje wakati anayakimbia kwa kushinda ndani ya air conditions? hatutabadilika kama zamani sasa tutaonekana vingine kwa kuwa tuko subjected kwa vitu vingine
 
Binadamu wa kwanza ni mweusi anaitwa "australopithecus chadensis" kutoka chad.. ni mweusi tii kama mkaa
 
Kimantiki binadamu wa kwanza alikuwa mweusi. tafiti nyingi za kisayansi zimedhihirisha hilo ya kuwa binadamu wa kwanza alitoka Africa, na hadi leo ukitazama gene pool ya Mwafrica imesheheni viasili vyote vinavyopatikana katika races zingine zote. Hivyo basi nachelea kusema ya kuwa, binadamu wa kwanza alikuwa mweusi.
 
Mungu yupo ila dini ni sanaa tupu na utumwa. mitume wa mashark ya kati mnawakubal wa kbongo hamuwatak akat nao wanadai kuoteshwa vile vile ka wale wa mashark ya kati. DINI SANAA TUPU

Mkuu uliyosema huwa nagombanaga sana na YF namwambia inakuwaje tunaabudu miZIMU yakigeni ambayo hatuna Nasaba nayo..! Wakati huo tunadharau Mizimu yetu..! anasema naKUFURU dah..! kiukweli watu weupe wametupandikiza Fikra mbaya sana..!
 
Hakuna jibu ambalo limethibitishwa kuhusiana na uumbaji wa mwanadamu zaidi ya story za kiimani pamoja na fikra za kisayansi ambazo hubadilika mara kwa mara. Kwa kweli tutaendelea kuuliza hayo maswali lakini hatutapata majibu kutoka kwa mwanadamu wa kawaida.
 
kutokana na sabau za kijiografia mtu wa kwanza alipoumbwa alikaa sehem fulani na shemu zingine zilikua tupu hazina watu walipozaana ndio watu wakazagaa sehemu tofauti


kwanini watu weusi
jibu ni sabau za kijografia mfano africa imepitiwa na mstari wa ikweta mabara yaliyopitiwa na mstari huu yanakua na joto sana kwa hiyo sababu hzi zinapelekea ngozi kutengeneza melanini nyingi sana ukiangalia america ya kusini nchi kama venezuela ,brazili na peru watu ni weusi ukija africa watuu ni weusi ukienda indonesia malyasia na nk unapata watu weusi pia ila kadri watu wanapozagaa na ndio wanachanganya damu

unataka kunishawsh lakn hebu ngoja kwanza nitarudi
 
Vitabu vya dini vimeandikwa na watu kama sisi na kama ilivyokawaida mapungufu ia binadamu kuna uongo mwingi. Hata mimi ninavitabu vyangu vya dini na watu wanatumia.
So akili ya kuambiwa changanya na yako.

Mbesa? ya tunduru au? teh teh teh teh hili jibu lako...
 
Back
Top Bottom