Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Ushatekwa kiakili.Free yourself from mental slavery

Habari za kuumbwa ni hadithi fake za kudanganya wajinga kama wewe

habari za kuumbwa ni hadithi fake? hebu dadavua zaidi hapa
 
Binadamu wa kwanza ni mweusi anaitwa "australopithecus chadensis" kutoka chad.. ni mweusi tii kama mkaa
Duh!...kwa hiyo sio Adam tena kama tunavyosoma katika maandiko ya Wazungu na Waarabu?

Huyu mtu wako wa kwanza naye amezaliwa au ameumbwa? mkuu hebu nipe reference kuhusu hili lako naweza soma wapi?
 
So unaamini at first binadamu alikua mweupe lakini mazingira/climate yakafanya watu wakawa weusi brown etc basi kama ivo tungekua tukizaa watoto at first wawe weupe then mazingira yawafanye weusi coz kama mtu umebadilishwa na mazingira/climate gene yako bado nyeupe, so i beg to disagree wit day buddy!

Mabadiliko kwa binadamu yalitokea kwa kasi ndogo sana inachukua mamilioni ya miaka kuona mabdiliko, amini mpaka sasa hvi evolution bado inaendelea kutokana na mazingra na kuingiliana kwa watu mbalimbali, mfano babu zetu walikuwa giant ,watu wenye nguvu za asili bila kunyanyua vyuma lakni wanaozaliwa sasa hvi nitofauti.
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

una ushahidi wa picha na video kwamba Adamu na Eva walikua weusi
 
mabadiliko kwa binadamu yalitokea kwa kasi ndogo sana inachukua mamilioni ya miaka kuona mabdiliko, amini mpaka sasa hvi evolution bado inaendelea kutokana na mazingra na kuingiliana kwa watu mbalimbali, mfano babu zetu walikuwa giant ,watu wenye nguvu za asili bila kunyanyua vyuma lakni wanaozaliwa sasa hvi nitofauti.

So helper unataka kuniambia kwamba binadamu wa mwanzo alikua mweupe na sisi kua blacks tumetokana na mabadiliko hayo unayoyasemea au?
 
vipi kama nikisema gene ndio kila kitu kwa mwafrika kwanin isiwe hivyo?? vipi albino(homozygous) akikutana na homozygous mwenzie?? wanaweza kuzaa mweusi?? hii n sawa na mzungu kwa mzungu.vipi mzungu akikutana na mwafrika??

lumanyisa,
kwa kuelewa kwangu hakuna uzungu wala uafrika hapa. kama dominant gene ya UALBINO ni A, ina maana mtu akiwa homozygous albino atakuwa na AA genes. Huyu akikutana na Albino mwenziwe hata kama ni mhindi mwekundu ambaye ni AA, basi probability kubwa kabisa ni kuzaa watoto AA yaani nao ni albino.

Lakini analokueleza sajumo ni kuwa kuna MAJALIWA (Qadari), hii kwa misingi ya genetical combinations hutaweza kukubaliana naye ila kama utajiweka kwenye nafasi ya mtoto aliyezaliwa na homozygous albino parents (na yeye kawa albino), kwake huyu ni exteremy sensible akisema kapata ualbino kama MAJALIWA YAKE (QADQRI)kwa maana hizo sciences za gene combinations na permutations yeye hazimsaidii kumtuliza.

Nimelieleza hili kirefu kwa vile nimepata hisia kama vile mliachana na sajumo kwa fundo kidogo japo ilikuwa kuna faida sana kwa kila mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Kuna maandiko mengine yanasema mtu wa kwanza aliishi Tanzania (olduvai George) na waandishi wengine wanasema ni Ethiopia..

Hapa sijausisha biblia....
 
Mi Nnavojua huu weusi tulionao laana hii...kipindi kile cha nuhu ,baada ya gharika kuna mtoto mmoja alimchungulia baba ake akiwa uchi akamcheka wengine wawili wakaenda kinyume nyume wakamfunika,NUhu akamlaani yule aliemchungulia kuwa 'utakuwa mtumwa wa ndugu zako'.

Na ndo haya mnayoyaona throughout history, slave trade, neocolonialism, underdevelopment yani ilimradi wazungu wako mbele...ingekuwa genes and revolution basi tungeevolve kuwa wazungu au wao kuwa weusi...source ndo hyo apo, nikipata andiko specific ntaweka hapa mjionee
 
Nendeni mkasome kwanza than ndio mlete mada zenye akila hapa,kasomeni histry,vitabu vya dini.acheni umbumbumbu
 
Mi Nnavojua huu weusi tulionao laana hii...kipindi kile cha nuhu ,baada ya gharika kuna mtoto mmoja alimchungulia baba ake akiwa uchi akamcheka wengine wawili wakaenda kinyume nyume wakamfunika,NUhu akamlaani yule aliemchungulia kuwa 'utakuwa mtumwa wa ndugu zako'...na ndo haya mnayoyaona throughout history,slave trade ,neocolonialism,underdevelopment yani ilimradi wazungu wako mbele...ingekuwa genes and revolution basi tungeevolve kuwa wazungu au wao kuwa weusi...source ndo hyo apo ,nikipata andiko specific ntaweka hapa mjionee

Mwalimu wangu alisema dini isingekuja nisingetawaliwa.na uliamini juu ya hilo vipi waafrika wanaowatumikisha wazungu leo? Au dini imebadilika? Mi naamini juu ya dini ila kuna mengine naona kama hayaendani.

Yawezekana mtoto alipewa laana ila si weusi hapo neno limepindishwa ili watawaliwa tuliomezeshwa dini tuamini ni halali kutawaliwa.kuhusu sisi kuevolve au wao licha ya kuwa ilichukua miaka mingi kumbuka mazingira yamebadilika tutabadilikaje kama ilivyokuwa zamani?

Tungoje kubadilika kivingine watoto wazaliwe kama wamekaa kwenye kiti(gari hizo) au mavyakula ya McDonald yafanye watoto wazaliwe ka vipipa ndo badiliko letu linalokuja
 
Mi Nnavojua huu weusi tulionao laana hii...kipindi kile cha nuhu ,baada ya gharika kuna mtoto mmoja alimchungulia baba ake akiwa uchi akamcheka wengine wawili wakaenda kinyume nyume wakamfunika,NUhu akamlaani yule aliemchungulia kuwa 'utakuwa mtumwa wa ndugu zako'...na ndo haya mnayoyaona throughout history,slave trade ,neocolonialism,underdevelopment yani ilimradi wazungu wako mbele...ingekuwa genes and revolution basi tungeevolve kuwa wazungu au wao kuwa weusi...source ndo hyo apo ,nikipata andiko specific ntaweka hapa mjionee

Huenda hiki kitabu kikakusaidia ndugu yangu

The Black Man the Father of Civilization: Proven by Biblical History, by James Morris Webb—A Project Gutenberg eBook
 
Rafiki hatuangalii rangi bali tunaangalia maandiko yanavyosema ukisoma acha ninukuu kidogo hapa Genesis 1"26 "Na tumfanye mtu kwa mfano wetu" haya maneno anasema Mungu na tumuumbe mtu kwa mfano wake hivyo Mungu aliumba mwanadamu hakuumba rangi hii ni ya mzungu au hii ni mwafrika bali alimuumba mtu hivyo dhana ya kusema kuwa mzungu ndo aliumbwa hakuna kitu kama hicho Mungu aliumba mtu na sio mzungu au mwafrika elewa hivyo tu kwani ukitaka kuelewa zaidi katika uumbaji utachanganyikiwa

Kwa mujibu wa :vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mp inasema aka watu weusi wakatokea duniani?
 
So unaamini at first binadamu alikua mweupe lakini mazingira/climate yakafanya watu wakawa weusi brown etc basi kama ivo tungekua tukizaa watoto at first wawe weupe then mazingira yawafanye weusi coz kama mtu umebadilishwa na mazingira/climate gene yako bado nyeupe, so i beg to disagree wit day buddy!

Genetics sio kama unavofikiri, na hakuna kitu kama "gene yako bado nyeupe" ati uzae mtoto ambae bado mweupe huku we ni mweusi.. not true, umezaliwa mweusi which means gene zinazo-code rangi ulizonazo zina-code rangi nyeusi, hii ni change in genetic-makeup kwa muda mrefu usichanganye concept na baba kaugua HIV afu mtoto akazaliwa bila HIV...
 
Right now in the Arab Gulf Region the temp is above 40deg celsius sababu iko jua kali sana why the native arab people are of different diverse shades and mostly not black and have softer hair? Evoulution with its al good intention it is biased against non whites and was used politically mostly against black people. Read about the darwinism study called Teleology.

Ukishaanza kuchanganya sayansi na imani hapo ndipo confusion kama hizi zinatokea, sikai nikaongelea binadamu wa kwanza kua nyani, not that kind of evolution, hiyo najua wengi wanaipinga n that part hata mimi nina faith pia..

Sema part nayoongelea mimi ni Genetics, inakuaje viumbe tunakua diverse hivi, jinsi genes zinavoflow from one generation to another, na ni kitu kiko proven na ndio maana leo mtu anakutengenezea bacteria ambaye ukimuweka kwenye maji yasiyofaa kunyekwa anabadilika rangi kukupa tahadhari usiyanwe, na ndio maana tunatibu magonjwa mbalimbali ya genetics, sababu ya knowledge tuliyonayo kuhusu Genetics.

Sio uongo sababu kwa theory hizo hizo tumeweza kutengeneza vitu vinavofanya kazi.
 
Back
Top Bottom