thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 264
Umesoma evolution lakini mkuu?
Evolution is of 0.000% discovered and concluded it has alot of fallacies and is not complete proven scientifically
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma evolution lakini mkuu?
Evolution is of 0.000% discovered and concluded it has alot of fallacies and is not complete proven scientifically
Umesoma evolution lakini mkuu?
Kwa hiyo wewe unaamini theory gani?
Just GOD ndo namwamini not theories
hiyo nayo ni theory, criation theory.
Mie nijuavyo ni kuwa adam na hawa (eva) walikuwa wakizaa watoto wawili mmoja wa kiume na mwengine wa kike asubuhi na jioni.....
Baina hiyo ya asubuh na jioni ni sawa na miaka 1000 ya sasa....
Walikua wakizaliwa makabila (mataifa) tofauti
Na mtoto wa kiume aliezaliwa asubuh anamuoa mtoto wa kike aliezaliwa jioni na wa kike anaolewa na mtoto wa kiume aliezaliwa asubuh...
Lengo kuu hapo lilikua kukuza ulimwengu
Miongoni mwa watoto hao ndio habil (abel) na qabil (cain)
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hii nayo ni theory mpya
evolution inaelezea jinsi watu tunavotofautiana, kuna mambo mengi sana ndani yake yanayofanya species aina moja kua na genes tofauti, mazingira ikiwa ni kitu mojawapo, mwili unatend kuadopt kulingana na mazingira, sasa kwa binadamu ambaye anakaa sehemu za joto, over period of years lazima changes zitokee mfano anakuwa na nywele fupi sana sababu hakai kwenye baridi, sasa mwili unakua exposed kwenye jua, hapo ndipo melanin inachukua kazi yake sasa, melanin inafanya ngozi yetu kua nyeusi ili kuweza kuishi bila kuhitaji vitu kama sunscreen ambao wenzetu weupe huzitumia sana wakati wa jua kali.... Hakuna kitu kama laana wala nini, its simply evolution tu
katika vitu ambavyo dini imeshindwa kuthibitisha kabisa ni ukweli kuhusu mwanadamu wa kwanza...historia ya dini inasema kwamba Adam alizaa watoto 2 kwanza ambao ni Kaini na Abel, Kaini akamuua Abeli na kulaaniwa , akafukuzwa kutoka ukoo wa Adam na kuhamia mbali ambapo ndipo alipoanzisha familia ya wafua vyuma wa kwanza duniani(blacksmiths) swali ni vipi alianzisha familia hiyo wakati huo hapakuwa na watu wengine zaidi ya Adamu, Eva kama mwanamke pekee, na kaini baada ya kifo cha Abel..Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?
Hawabadiliki kama unavofikiria wewe, factors ni nyingi sana, kwa mtu ambaye hajasoma evolution au genetics hili hawezi kulielewa linatokea vipi, naweza nikajaribu kukueleza tusielewane kama hii field uliikimbia ila nlichosema ni right na ni kitu scientificalky proven.. hutokuwepo lakini miaka mingi from now binadamu hawatokua hivi walivo sasa.. bado tunabadilika50 cent, Ballotel, Akon, Lil wayne na wengineo wengi waliozaliwa na kuishi huko kwenye baridi kali wangebadilika endapo hii nadharia uliyoieleza ingekuwa hai.
Hawabadiliki kama unavofikiria wewe, factors ni nyingi sana, kwa mtu ambaye hajasoma evolution au genetics hili hawezi kulielewa linatokea vipi, naweza nikajaribu kukueleza tusielewane kama hii field uliikimbia ila nlichosema ni right na ni kitu scientificalky proven.. hutokuwepo lakini miaka mingi from now binadamu hawatokua hivi walivo sasa.. bado tunabadilika
katika vitu ambavyo dini imeshindwa kuthibitisha kabisa ni ukweli kuhusu mwanadamu wa kwanza...historia ya dini inasema kwamba Adam alizaa watoto 2 kwanza ambao ni Kaini na Abel, Kaini akamuua Abeli na kulaaniwa , akafukuzwa kutoka ukoo wa Adam na kuhamia mbali ambapo ndipo alipoanzisha familia ya wafua vyuma wa kwanza duniani(blacksmiths) swali ni vipi alianzisha familia hiyo wakati huo hapakuwa na watu wengine zaidi ya Adamu, Eva kama mwanamke pekee, na kaini baada ya kifo cha Abel..kama alikoenda alikutana na watu na kuanzisha familia hiyo..watu hao waliumba na nani na lini? Je huoni kwamba kuna uwezekano mkubwa sana kwamba Adamu na Eva sio wanadam wa Kwanza.[/QUOT
Hizi dini mi sina habari nazo kabisa naona ni usanii fulani hivi.. Eva aliumbwa kutokea ubavuni mwa Adam!! Baadae walizaa watoto ambao wote ni wa kiume,, mtoto mmoja alikufa na mwingine kwenda mbali huko sasa najiuliza huyu Abel ambaye alikuwa pekee aliwezaje kupata mtoto ili hali hakuna panapoeleza alikuwa na mwenza!!? Ni nani aliyefahamu au kujua kuwa hawa watu walikuwa weusi au weupe wakati hakukuwa na camera?? Kumbukumbu za picha zao ziko wapi na kwa nini majarida yanatuchorea kuwa ni watu weupe??? DINI HIZI NI USANII NA UPOTOSHAJI MKUBWA...Nachukia zote ukristi na uislamu.
Wapi na ktk kitabu gani cha dini walisema Adam au Eva ni watu weupe au weusi..! Nipe sura na haya yake.

mi naamini kuna muumba. lakini uumbaji na sababu za uumbaji ni siri.
dini ni kulazimisha kuelewa siri hiyo.
theory ninayoipenda sisi, wadudu na wanyama wengine wote tulitolka kwenye sayari nyingine... tukiwa na program ya kuja kuzaliana hapa kwenye sayari hii.
dini ni jitihada za kuelewa siri ya tulikotoka. kwa hiyo kwangu mimi swali kubwa ni kwa nini safari ya kutuleta huku haikuruhusu blue print ya kule tulikotoka? dini tunakisiakisia tu jibu ndo maana ziko dini lukuki
you are right.katika vitu ambavyo dini imeshindwa kuthibitisha kabisa ni ukweli kuhusu mwanadamu wa kwanza...historia ya dini inasema kwamba adam alizaa watoto 2 kwanza ambao ni kaini na abel, kaini akamuua abeli na kulaaniwa , akafukuzwa kutoka ukoo wa adam na kuhamia mbali ambapo ndipo alipoanzisha familia ya wafua vyuma wa kwanza duniani(blacksmiths) swali ni vipi alianzisha familia hiyo wakati huo hapakuwa na watu wengine zaidi ya adamu, eva kama mwanamke pekee, na kaini baada ya kifo cha abel..kama alikoenda alikutana na watu na kuanzisha familia hiyo..watu hao waliumba na nani na lini? Je huoni kwamba kuna uwezekano mkubwa sana kwamba adamu na eva sio wanadam wa kwanza.
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?