Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Kama binadamu wa kwanza alikuwa mweupe, watu weusi wametoka wapi?

Genetics sio kama unavofikiri, na hakuna kitu kama "gene yako bado nyeupe" ati uzae mtoto ambae bado mweupe huku we ni mweusi.. not true, umezaliwa mweusi which means gene zinazo-code rangi ulizonazo zina-code rangi nyeusi, hii ni change in genetic-makeup kwa muda mrefu usichanganye concept na baba kaugua HIV afu mtoto akazaliwa bila HIV...

Mi hata sijakuelewa unataka kuzungumzia kitu gani hapa nimerudia mara 1000 kukusoma bt cjakupata, i failed to work out ur system of logic here.
 
Kuna maandiko mengine yanasema mtu wa kwanza aliishi Tanzania (olduvai George) na waandishi wengine wanasema ni Ethiopia..

Hapa sijausisha biblia....

kama huyo mtu ni adam
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

Ni "Mutation" imetokea kwenye genes kulingana na mazingira ambayo babu zetu walikuwa wanaishi. Ndo maana Kuna Wazungu, Waarabu, wachina, Waafrika, wahindi nk
 
Kuna maandiko mengine yanasema mtu wa kwanza aliishi Tanzania (olduvai George) na waandishi wengine wanasema ni Ethiopia..

Hapa sijausisha biblia....

kama huyo mtu ni adam
 
Mi hata sijakuelewa unataka kuzungumzia kitu gani hapa nimerudia mara 1000 kukusoma bt cjakupata, i failed to work out ur system of logic here.

My logic ni kwamba, napingana na ulivosema "so unaamini at first binadamu alikua mweupe lakini mazingira/climate yakafanya watu wakawa weusi brown etc basi kama ivo tungekua tukizaa watoto at first wawe weupe then mazingira yawafanye weusi coz kama mtu umebadilishwa na mazingira/climate gene yako bado nyeupe, so I beg to disagree wit day buddy"

Hiyo reasoning uliyotumia ni sahihi kabisa kwa mtu aliyesoma introduction ya genetics ile ya form four akaacha. Kwa aliyeenda juu deep zaidi na kujua jinsi traits zinavokua inherited from generation to generation atagundua kua kwa nini kuna variation ya traits na kua trait mpya inaweza kutokea na bado ikawa inherited kwa generations zinazofata (Ndiyo, its very possible)

Hii ni kwa lugha rahisi kabisa nayoweza kukuandikia zaidi labda kama unataka nikupe information sources ila uwe na knowledge nzuri ya biology kama unataka kuzielewa...
 
My logic ni kwamba, napingana na ulivosema """So unaamini at first binadamu alikua mweupe lakini mazingira/climate yakafanya watu wakawa weusi brown etc basi kama ivo tungekua tukizaa watoto at first wawe weupe then mazingira yawafanye weusi coz kama mtu umebadilishwa na mazingira/climate gene yako bado nyeupe, so i beg to disagree wit day buddy!""" hiyo reasoning uliyotumia ni sahihi kabisa kwa mtu aliyesoma introduction ya genetics ile ya form four akaacha... Kwa aliyeenda juu deep zaidi na kujua jinsi traits zinavokua inherited from generation to generation atagundua kua kwa nini kuna variation ya traits na kua trait mpya inaweza kutokea na bado ikawa inherited kwa generations zinazofata (Ndiyo, its very possible).. hii ni kwa lugha rahisi kabisa nayoweza kukuandikia zaidi labda kama unataka nikupe information sources ila uwe na knowledge nzuri ya biology kama unataka kuzielewa...

Thanks Dreson hiyo ilikua knowledge yangu ya f.4 bios hahahaaa 😛 Sasa nimekuelewa kumbe mzazi anaweza kurithisha some biological features ambazo zimetokana na mambo ya nje kama envt chanhges kwa offsprings wake, wel at first i thought external factors dont affect person's genetic condition.
 
Mi Nnavojua huu weusi tulionao laana hii...kipindi kile cha nuhu ,baada ya gharika kuna mtoto mmoja alimchungulia baba ake akiwa uchi akamcheka wengine wawili wakaenda kinyume nyume wakamfunika,NUhu akamlaani yule aliemchungulia kuwa 'utakuwa mtumwa wa ndugu zako'...na ndo haya mnayoyaona throughout history,slave trade ,neocolonialism,underdevelopment yani ilimradi wazungu wako mbele...ingekuwa genes and revolution basi tungeevolve kuwa wazungu au wao kuwa weusi...source ndo hyo apo ,nikipata andiko specific ntaweka hapa mjionee
Dini sanaa..!! wanatumia akili zetu za kijinga kutuaminisha ujinga kama huu.. Tumia na akili zako hapo eti tumelaaniwa.. Kwahiyo mtoto akizaliwa leo akafa ni kweli kalaaniwa na ana dhambi ya kurithi???


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
kuna kitabu kinaitwa HISTORY OF AFRICA kitabu hiki kinaelezea kua mwanzo kabisa bara la africa halikua linakaliwe na watu

swali linakuja watu walitoka wapi
watu walitoka north asia na sourthen asia

watu wenye rangi nyeusi walitokeaje

Mwanzo kulikua hakuna ngozi nyeusi duniani, baada ya kundi la kwanza kuvamia africa kutoka north asia likakaa north africa kundi hili likaitwa nilote weupe na warefu.

Kundi lingine kutoka southern asia likaja africa likaka west afrca liliitwa hamites makundi haya ya watu weupe yalianza kuingiliana kutokana na biashara likatokea kundi jingine lililoitwa negroes likaka huko west africa

Sasa negroes walipoingiliana na hamites na negroes waki tawala damu hiyo ndio likatokea kundi la bantu

Kundi la bantu ndio likawa chanzo cha watu weusi duniani kivipi

Biashara ya utumwa, kutokana na shughuli za uzalishaji mali kundi hili likaanza kutafuta makazi sehemu nyingine hivyo wakasambaa africa nzima tanzania au east africa kulikua mapori kama maeneo mengine africa kwa kupitia burundi na rwanda pamoja na misitu mikubwa ya congo wakafanikiwa kuingia east africa walipokuja hapa wakazaana na mwarabu akatokea mswahili yaani mtu muongo muongo kama mwarabu alivyokua(just a joke)

Wengine wakasambaa south africa wakatokea bushmen na ndio asili ya watu wa nchi nyingi za southern africa.

Black america walianza kusambaa usa na amerika kutokana na shughuli za mashamba na viwanda hiyo ndio historia fupi ya mtu mweusi mungu hajaumba ngozi nyeusi rangi yangu ya leo inatokana na kurithi hata mwanao amerithi macho, au pua kutoka kwako hivyo akirithi rangi usishangae
 
kuna kitabu kinaitwa HISTORY OF AFRICA kitabu hiki kinaelezea kua mwanzo kabisa bara la africa halikua linakaliwe na watu

swali linakuja watu walitoka wapi
watu walitoka north asia na sourthen asia

watu wenye rangi nyeusi walitokeaje

mwanzo kulikua hakuna ngozi nyeusi duniani
baada ya kundi la kwanza kuvamia africa kutoka north asia likakaa north africa kundi hili likaitwa nilote weupe na warefu
kundi lingine kutoka southern asia likaja africa likaka west afrca liliitwa hamites makundi haya ya watu weupe yalianza kuingiliana kutokana na biashara likatokea kundi jingine lililoitwa negroes likaka huko west africa


sasa negroes walipoingiliana na hamites na negroes waki tawala damu hiyo ndio likatokea kundi la bantu


kundi la bantu ndio likawa chanzo cha watu weusi duniani kivipi


biashara ya utumwa
kutokana na shughuli za uzalishaji mali kundi hili likaanza kutafuta makazi sehemu nyingine hivyo wakasambaa africa nzima tanzania au east africa kulikua mapori kama maeneo mengine africa kwa kupitia burundi na rwanda pamoja na misitu mikubwa ya congo wakafanikiwa kuingia east africa walipokuja hapa wakazaana na mwarabu akatokea mswahili yaani mtu muongo muongo kama mwarabu alivyokua(just a joke)
wengine wakasambaa south africa wakatokea bushmen na ndio asili ya watu wa nchi nyingi za southern africa

black america walianza kusambaa usa na amerika kutokana na shughuli za mashamba na viwanda
hiyo ndio historia fupi ya mtu mweusi mungu hajaumba ngozi nyeusi rangi yangu ya leo inatokana na kurithi hata mwanao amerithi macho, au pua kutoka kwako hivyo akirithi rangi usishangae

Hiki kitabu ni cha dini au mtu tu kaandika? Hao watu kutoka Asia kwanini walihama kuja Africa? Walipatwa na njaa kwao,baridi ilizidi aumwandishi hajatoa sababu? Hakuna mtu aliyefanya biashara kichaa kwa zamani kuhama bila kupatwa na tatizo.hiko kizazi cha wa Asia kiliisha vipi?

Kiliyeyuka? Hamitic anajaribu kutupeleka kwenye dhana ya Ham wa nuhu na hao nilotes baba yao alikuwa nani? Gharika lilisahau kupiga kwao? Maasai ni nilotes najua ni blacks kama watu wa southern Sudan ambao ni nilotes pia hao white nilotes wanaishi wapi? Si kweli kwamba mbantu alizaana na mwarabu ndo akatokea mswahili.waarabu wameanza kuja pwani ya EA kwenye karne ya 5-7 kati ya hapo.ukisoma vitabu kwa watu waliofika mwanzo pwani ya EA wanasema walikuta watu wenye kila kitu chao.iwapo jambo ni kurithi hata leo watu wa northern Asia wangeoana na watu wa southern Asia na kuzaa negroes(hawa ni blacks) nashangaa ilikuwaje wakae west Africa ambako walikaa na wa hamite,ina maana nilotes walikuwa hawazai?

Nilitarajia kwakuwa walioana kwa kuchanganyika wote wawili wangekuwa na negroes ila mwandishi kasema negroes waliishi west Africa.watoto wa wa nilote walikuwa wana rangi gani? Ikiwa ni weusi kwanini mwandishi aseme negroes walikuwepo west pekeyake na ikiwa ni weupe iliwezekana vipi kutokee kizazi cha weusi kwa wa hamite kisha kikikosekana kwa nilotes?

Akisema kuwa wa nilotes wengi hawakuoa wahamite maana yake race nyeupe ndo ingekuwa imetawala ndani ya Africa na kuwa na asilimia ndogo ya blacks hali ni kinyume na weupe wote ni wahamiaji tu.

Hiko kitabu choma moto tu
 
Hiki kitabu ni cha dini au mtu tu kaandika? Hao watu kutoka Asia kwanini walihama kuja Africa? Walipatwa na njaa kwao,baridi ilizidi aumwandishi hajatoa sababu? Hakuna mtu aliyefanya biashara kichaa kwa zamani kuhama bila kupatwa na tatizo.hiko kizazi cha wa Asia kiliisha vipi? Kiliyeyuka? Hamitic anajaribu kutupeleka kwenye dhana ya Ham wa nuhu na hao nilotes baba yao alikuwa nani? Gharika lilisahau kupiga kwao? Maasai ni nilotes najua ni blacks kama watu wa southern Sudan ambao ni nilotes pia hao white nilotes wanaishi wapi? Si kweli kwamba mbantu alizaana na mwarabu ndo akatokea mswahili.waarabu wameanza kuja pwani ya EA kwenye karne ya 5-7 kati ya hapo.ukisoma vitabu kwa watu waliofika mwanzo pwani ya EA wanasema walikuta watu wenye kila kitu chao.iwapo jambo ni kurithi hata leo watu wa northern Asia wangeoana na watu wa southern Asia na kuzaa negroes(hawa ni blacks) nashangaa ilikuwaje wakae west Africa ambako walikaa na wa hamite,ina maana nilotes walikuwa hawazai? Nilitarajia kwakuwa walioana kwa kuchanganyika wote wawili wangekuwa na negroes ila mwandishi kasema negroes waliishi west Africa.watoto wa wa nilote walikuwa wana rangi gani? Ikiwa ni weusi kwanini mwandishi aseme negroes walikuwepo west pekeyake na ikiwa ni weupe iliwezekana vipi kutokee kizazi cha weusi kwa wa hamite kisha kikikosekana kwa nilotes? Akisema kuwa wa nilotes wengi hawakuoa wahamite maana yake race nyeupe ndo ingekuwa imetawala ndani ya Africa na kuwa na asilimia ndogo ya blacks hali ni kinyume na weupe wote ni wahamiaji tu.

Hiko kitabu choma moto tu

mkuu sioni hoja ya mziki unayotaka kujenga
watu walikua wanahama zamani kutokana na kukua kwa jamii zao hivyo kutafuta eneo lingine la maisha wanaitwa searching for new beginning, na vita pia huchangia kuhama kwa watu kutafuta maisha mapya
zamani eneo lote la africa lilikua pori hakuna makazi ya watu
nilotes na hamite walikua watu wa jamii tofauti
nilotes walikua light skinned people na warefu ambao walikua ndio wazazi wa kabila lakama fulani hausa tuareg berbers oromo somali hawa nilote walikua wafugaji

hamites walikua weupe na warefu lakini sio wakung'aa kama nilotes kwa hiyo walikua kama maji ya kunde yanayoelekea kwenye weupe wa kuwaka hawa ndio wazazi wa mande,sonike malinke ashati na nk
muingiliano wako ikaza bntu race bantu wakaanza kusambaa kusini na mashariki ya africa laini horn af africa yaani north africa hawakwenda sabukulikua a zaki nilotes na hamites zimeweka makazi sehemu nzuri ikawa east ,west na south of africa na ndio maana nchi za north africa hakuna ja za za watu weusi mwandishi anaitwa g.p.murdock na gw huntingford
 
Wapi na ktk kitabu gani cha dini walisema Adam au Eva ni watu weupe au weusi..! Nipe sura na haya yake.
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

ulijua vipi langi yao?
 
mkuu sioni hoja ya mziki unayotaka kujenga
watu walikua wanahama zamani kutokana na kukua kwa jamii zao hivyo kutafuta eneo lingine la maisha wanaitwa searching for new beginning, na vita pia huchangia kuhama kwa watu kutafuta maisha mapya
zamani eneo lote la africa lilikua pori hakuna makazi ya watu
nilotes na hamite walikua watu wa jamii tofauti
nilotes walikua light skinned people na warefu ambao walikua ndio wazazi wa kabila lakama fulani hausa tuareg berbers oromo somali hawa nilote walikua wafugaji

hamites walikua weupe na warefu lakini sio wakung'aa kama nilotes kwa hiyo walikua kama maji ya kunde yanayoelekea kwenye weupe wa kuwaka hawa ndio wazazi wa mande,sonike malinke ashati na nk
muingiliano wako ikaza bntu race bantu wakaanza kusambaa kusini na mashariki ya africa laini horn af africa yaani north africa hawakwenda sabukulikua a zaki nilotes na hamites zimeweka makazi sehemu nzuri ikawa east ,west na south of africa na ndio maana nchi za north africa hakuna ja za za watu weusi mwandishi anaitwa g.p.murdock na gw huntingford

Ndo maana nimeuliza chanzo chakuhama watu hao ni nini? Kama ni vita ni ipi? Kama Njaa ilitokea mwaka gani? Naona kama umeangalia juu ya chanzo cha kuhama peke yake mengine umeyaacha.kama ni kurithi mpaka leo weupe wangekuwa wanazaa weusi kurithi huko kumeisha?

Hao wa nilotes waliotoka Asia kabila(asili) yao imeisha vipi huko kwao maana sijawahi sikia Asia kuna wa nilotes zaidi ya huku eastern Africa.
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni Adamu kisha Eva ambao walikuwa sio watu weusi, ni nini kilitokea mpaka watu weusi wakatokea duniani?

......vya dini ipi ?????!
 
evolution inaelezea jinsi watu tunavotofautiana, kuna mambo mengi sana ndani yake yanayofanya species aina moja kua na genes tofauti, mazingira ikiwa ni kitu mojawapo, mwili unatend kuadopt kulingana na mazingira, sasa kwa binadamu ambaye anakaa sehemu za joto, over period of years lazima changes zitokee mfano anakuwa na nywele fupi sana sababu hakai kwenye baridi, sasa mwili unakua exposed kwenye jua, hapo ndipo melanin inachukua kazi yake sasa, melanin inafanya ngozi yetu kua nyeusi ili kuweza kuishi bila kuhitaji vitu kama sunscreen ambao wenzetu weupe huzitumia sana wakati wa jua kali.... Hakuna kitu kama laana wala nini, its simply evolution tu

kwa hiyo unataka kusema mtu mweusi kama mpingo akihamia ulaya kizazi chake huko mbele (after some many many years) theoretically watageuka wazungu?
 
kwa hiyo unataka kusema mtu mweusi kama mpingo akihamia ulaya kizazi chake huko mbele (after some many many years) theoretically watageuka wazungu?

Ume-note kua nlisema weusi umetokana na melanin ambayo imekua as a result ya kuzuia ultra-violet rays.... Binadamu bado tuna evolve, miaka milioni ijayo hatutakua kama tulivo leo, nani anajua tutakua form gani No one knows, sema uhakika ni kua tutakua tumebadilika kua form nyingine... reversing evolution si kitu rahisi, weupe na weusi walidiverge hadi imefika muda ni kiumbe moja ila mwenye trait mbili tofauti kabisa, huwezi kusema urudishe nyuma evolution Nope.

Sijawahi sikia kitu kama hicho, na hata mazingira pia hayaruhusu, hata huko nchi za watu siku hizi jua linapiga sana tu, so eventually tukisema white race some million years to come inaweza isiwepo completely is a very right thing...
 
1.mimi nina amini kuwa mwanadamu wa kwanza alikuwa mweusi sababu ukisoma maandio utaona Mungu alifinyanga udongo kisha akapulizia pumnzi ndio mwanadamu aka kama alivyo sasa jiulize udogo ni rangi gani utapata jibu

2. Watu weupe wametokana na kizazi cha kaini baada ya kumuua ndugu yake Mungu alimlaani na kupigwa chapa ya muhuri ambayo ndio ngozi nyeupe, (ukirudi nyuma utangundua nyoka/ shetani aliwadanganya wakila tunda basi watajua mema na mabaya maana ake watakuwa na akili nyingi) ndio maana ngozi nyeupe ni werevu zaidi yetu sisi weusi.

NB: ndio maana wanasema fuvu la mtu wa kwanza limepatikana ngorongoro

Kwi kwi kwiii…………….aliyekuambia udongo una hiyo rangi unayoidhani ni nani?usijidanganye kua rangi ya udongo ni nyeusi tuu,acha nikupe shule kidogo,udongo unaweza kua na rangi za aina mbali mbali kama vile; gray, black, white, reds, browns, yellows na wakati mwingine under the right conditions udongo unaweza kua green.
 
Kwi kwi kwiii…………….aliyekuambia udongo una hiyo rangi unayoidhani ni nani?usijidanganye kua rangi ya udongo ni nyeusi tuu,acha nikupe shule kidogo,udongo unaweza kua na rangi za aina mbali mbali kama vile; gray, black, white, reds, browns, yellows na wakati mwingine under the right conditions udongo unaweza kua green.

amevurugwa huyo na DINI
 
kwa hiyo unataka kusema mtu mweusi kama mpingo akihamia ulaya kizazi chake huko mbele (after some many many years) theoretically watageuka wazungu?

Umesoma evolution lakini mkuu?
 
may there be light GOD said meaning GOD was black..... us been created by GOD's image we are black too
 
Back
Top Bottom