Duh,wanyama wakishasikilizwa watageuzwa mavumbi .Mtu utawezaje kuamin hii pumba.Holy Quaran aka KItabu chenye majibu ya maswali yote imesema kuwa watafufuliwa viumbe wote, watu wakiwa uchi,wanyama na manyoya yao , wanyama watageuzwa mavumbi mara baada ya kusikilizwa .binadamu tutaendelea na utaratibu wa kulipwa matendo yetu.
Duh,wanyama wakishasikilizwa watageuzwa mavumbi .Mtu utawezaje kuamin hii pumba.
Habari za wanyama na ndege na viumbe vingine habari yao ni hapa hapa duniani ndio mwisho wao..
Holy Quaran aka KItabu chenye majibu ya maswali yote imesema kuwa watafufuliwa viumbe wote, watu wakiwa uchi,wanyama na manyoya yao , wanyama watageuzwa mavumbi mara baada ya kusikilizwa .binadamu tutaendelea na utaratibu wa kulipwa matendo yetu.
Lengo la kuwasikiliza wanyama ni nini ikiwa wote wanageuzwa mavumbiHoly Quaran aka KItabu chenye majibu ya maswali yote imesema kuwa watafufuliwa viumbe wote, watu wakiwa uchi,wanyama na manyoya yao , wanyama watageuzwa mavumbi mara baada ya kusikilizwa .binadamu tutaendelea na utaratibu wa kulipwa matendo yetu.
Akikujibu hili swali kwa ufasaha!! Haki ya Mungu nahamia dini yake!!Lengo la kuwasikiliza wanyama ni nini ikiwa wote wanageuzwa mavumbi
qur'aan haijasema hayo maneno,usimzulie mwenyezi mungu uongo,hapendi,hukumu ni kwa binaadam na majini tuHoly Quaran aka KItabu chenye majibu ya maswali yote imesema kuwa watafufuliwa viumbe wote, watu wakiwa uchi,wanyama na manyoya yao , wanyama watageuzwa mavumbi mara baada ya kusikilizwa .binadamu tutaendelea na utaratibu wa kulipwa matendo yetu.
vizurimajini na wanaadam ndio watawala wadunia na maamrisho na makatazo yanawahusu wao hakuna amri ya kufunga kusali kuhiji kutoa zaka kwa mnyama hivyo hukumu ya siku ya kiama na kwenda peponi ama motoni hayamuhusu mnyama
wewe una akili ya kujenga nyumba ujikinge na mvua,ukiumwa unatengeneza dawa,unapona,wakat hayo nguruwe na nyani hawawez,hyo tofaut imekujaje?!..unataka kuishi kwenye nyumba(dunia) ya mtu bila sheria,we unaweza,fanya dhambi zako,jidanganye,ila mauti yakikufika utakutana naehakuna pepo wa jihanamu hizo ni habari za kutungwa tu.
Akikujibu hili swali kwa ufasaha!! Haki ya Mungu nahamia dini yake!!
Wanyama na ndege na mimea wameandaliwa kwa ajili ya kutuwesha sisi tuishi katika hii dunia ,mfano mimea tunapata chakula na mavazi,wanyama tunapata chakula ,mavazi na usafiri,,Habari za wanyama na ndege na viumbe vingine habari yao ni hapa hapa duniani ndio mwisho wao..
Acha dhiki ya kufikiri,,,kwani si wameumbwa kutokana na hayo mavumbi hayo hayo ??? itashindwaje aliyewaumba kuwageuza mavumbi????Duh,wanyama wakishasikilizwa watageuzwa mavumbi .Mtu utawezaje kuamin hii pumba.