Maandiko ya awali ya kiebrania yanaonyesha palikuwa na dampo nje ya mji wa Jerusalem ambalo moto wake ulikuwa hauzimiki.
Yesu katika mahubiri yake alisema ambao hawafuati neno lake, katika utawala wake watatolewa kwenye mji mtakatifu na kutupwa kwenye shimo la jehena kama takataka.
Karne chache zilizofuatia maandiko yalitafsiriwa kwenda kigiriki , kirumi na lugha nyinginezo. Jehena ikaitwa jehanam, na ikatafsiriwa kama sehemu yenye moto wa milele iliyoumbwa na mungu.
Kimsingi katika siku zaba za uumbaji mungu hakuumba moto wa milele kwa ajili ya adhabu.
Dini zilizofuata baada ya uyahudi zilibeba dhana ya Jehanam, ambayo haipo.