Kama binadamu wote wataenda Peponi au Jehanamu vipi kuhusu wanyama wengine?

Lengo la kuwasikiliza wanyama ni nini ikiwa wote wanageuzwa mavumbi
Wanyama wataulizwa ili kama kuna binadamu aliye mtendea mnyama uovu mfano kumuua bila sababu ya kumla,kumuuza,au mnyama mharibifu,au kuna mnyama aliyemuonea mnyama mwingine mungu atapitisha hukumu na kugawa haki kwa kila aliyeonewa
 
So unamaanisha kumuuza mnyama ni dhambi? Pia kama nimekuelewa vizuri mnyama aliyemtendea mnyama mwingine uovu ataadhibiwa kabla ya kugeuzwa vumbi (chui wote wataadhibiwa sababu chui anaweza ua wanyama sita akala mmoja?)
 
Akikujibu hili swali kwa ufasaha!! Haki ya Mungu nahamia dini yake!!
Amejib lakin tatizo kwenye dini inaruhusiwa kukariri sio kuelewa sasa sijui kama jibu alilotoa yeye mwenyewe analiamini kwa dhati
 
Mungu akuumba jehanam, na wala akuumba pepo ili binadamu akae.
Sehemu aliyoumbiwa binadamu kukaa ni dunia.
Kama kuna kufufuliwa basi ni hapahapa duniani.
Kwani wewe umetokea duniani?au umeikuta dunia?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuwa mpole kijana !! Akijibu kwa ufasaha hata we mwenyewe utaona!!
Ni kweli, you are right. Na kama wanyama watafufuliwa halafu watasikilizwa halafu watakuwa udongo tena swali la nyongeza sasa kuna haja gani ya kuwafufua.
 
Wanyama wataulizwa ili kama kuna binadamu aliye mtendea mnyama uovu mfano kumuua bila sababu ya kumla,kumuuza,au mnyama mharibifu,au kuna mnyama aliyemuonea mnyama mwingine mungu atapitisha hukumu na kugawa haki kwa kila aliyeonewa
Hapo kwa mnyama aliyemwonea mnyama, then wote udongo, does it make sense!?
 
Wale wataalamu wa mambo ya kidini awe Muislam au Mkristo au hata Mhindu naomba kueleweshwa kuhusu Peponi na Jehanamu.

Imekua kawaida ya binadamu kujizungumzia yeye mwenyewe kwamba ndio ataenda peponi au Jehanamu lakini tukirudi katika vitabu vya dini tunaambiwa Mungu alituumba sisi pamoja na wanyama wengine kama Ng'ombe,Kuku, Mbwa nk.

Sasa swali langu ni je baada ya hao wanyama kufa either kwa kuliwa na sisi binadamu au kwa namna nyingine nao wataenda Mbinguni ?
Muumba wa ubongo anajua kinachotukia tunapokufa. Anajua ukweli na katika Neno lake, Biblia, anaeleza hali ya wafu. Biblia inafundisha hivi waziwazi: Mtu anapokufa, hayupo tena. Kifo ni kinyume cha uhai. Wafu hawaoni, hawasikii wala kufikiri. Hakuna sehemu yoyote ya mwili wetu inayoendelea kuishi baada ya mwili kufa. Hatuna nafsi au roho isiyoweza kufa.Baada ya Sulemani kutaja kwamba walio hai wanajua kwamba watakufa, aliandika hivi: “Lakini wafu, hawajui lolote kamwe.” Kisha akafafanua kweli hiyo ya msingi kwa kusema kwamba wafu hawawezi kupenda wala kuchukia na kwamba “hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi.” (Mhubiri 9:5, 6, 10) Vivyo hivyo, andiko la Zaburi 146:4 linasema kwamba mtu anapokufa, “mawazo yake hupotea.” Sisi hufa wala hatuendelei kuishi baada ya mwili kufa. Maisha yetu ni kama moto. Unapozimika, hauendi popote. Haupo tena.
 
Hayo yote ni nje ya mada.

Kingine nikuulize kuwa huamini kufufuliwa na kuishi upya!?
 
wewe una akili ya kujenga nyumba ujikinge na mvua,ukiumwa unatengeneza dawa,unapona,wakat hayo nguruwe na nyani hawawez,hyo tofaut imekujaje?!..unataka kuishi kwenye nyumba(dunia) ya mtu bila sheria,we unaweza,fanya dhambi zako,jidanganye,ila mauti yakikufika utakutana nae
hayo yote sio sababu ya kusema kuniambia kuna pepo au jehanum labda unithibitishie uwepo wake.
 
nikuthibitishie kivipi,uktaka nikuoneshe 'ile pale' siwezi,ila kama umekubali post yangu ya awali basi mwenye nyumba ndo asemavyo
 
mwenye katuachia tule goodtime sema wapambe ndio wanaleta stori za kutu control
 
Kwani wewe umetokea duniani?au umeikuta dunia?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Maandiko ya awali ya kiebrania yanaonyesha palikuwa na dampo nje ya mji wa Jerusalem ambalo moto wake ulikuwa hauzimiki.
Yesu katika mahubiri yake alisema ambao hawafuati neno lake, katika utawala wake watatolewa kwenye mji mtakatifu na kutupwa kwenye shimo la jehena kama takataka.
Karne chache zilizofuatia maandiko yalitafsiriwa kwenda kigiriki , kirumi na lugha nyinginezo. Jehena ikaitwa jehanam, na ikatafsiriwa kama sehemu yenye moto wa milele iliyoumbwa na mungu.
Kimsingi katika siku zaba za uumbaji mungu hakuumba moto wa milele kwa ajili ya adhabu.
Dini zilizofuata baada ya uyahudi zilibeba dhana ya Jehanam, ambayo haipo.
 
itafaa uanze kusoma MUHUBIRI 3:19,20....halafu uje tujadili tukianzia hapo....
 
Back
Top Bottom