Wanyama wataulizwa ili kama kuna binadamu aliye mtendea mnyama uovu mfano kumuua bila sababu ya kumla,kumuuza,au mnyama mharibifu,au kuna mnyama aliyemuonea mnyama mwingine mungu atapitisha hukumu na kugawa haki kwa kila aliyeonewaLengo la kuwasikiliza wanyama ni nini ikiwa wote wanageuzwa mavumbi
Wanyama wataulizwa ili kama kuna binadamu aliye mtendea mnyama uovu mfano kumuua bila sababu ya kumla,kumuuza,au mnyama mharibifu,au kuna mnyama aliyemuonea mnyama mwingine mungu atapitisha hukumu na kugawa haki kwa kila aliyeonewaLengo la kuwasikiliza wanyama ni nini ikiwa wote wanageuzwa mavumbi
Jidanganyehakuna pepo wa jihanamu hizo ni habari za kutungwa tu.
Kuwa mpole kijana !! Akijibu kwa ufasaha hata we mwenyewe utaona!!Inaweza kuwa ngumu kwako pia kwani utajuaje kama kajibu kwa ufasaha.
So unamaanisha kumuuza mnyama ni dhambi? Pia kama nimekuelewa vizuri mnyama aliyemtendea mnyama mwingine uovu ataadhibiwa kabla ya kugeuzwa vumbi (chui wote wataadhibiwa sababu chui anaweza ua wanyama sita akala mmoja?)Wanyama wataulizwa ili kama kuna binadamu aliye mtendea mnyama uovu mfano kumuua bila sababu ya kumla,kumuuza,au mnyama mharibifu,au kuna mnyama aliyemuonea mnyama mwingine mungu atapitisha hukumu na kugawa haki kwa kila aliyeonewa
Amejib lakin tatizo kwenye dini inaruhusiwa kukariri sio kuelewa sasa sijui kama jibu alilotoa yeye mwenyewe analiamini kwa dhatiAkikujibu hili swali kwa ufasaha!! Haki ya Mungu nahamia dini yake!!
Kwani wewe umetokea duniani?au umeikuta dunia?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mungu akuumba jehanam, na wala akuumba pepo ili binadamu akae.
Sehemu aliyoumbiwa binadamu kukaa ni dunia.
Kama kuna kufufuliwa basi ni hapahapa duniani.
Binadamu na majini ndo wenye kazi siku ya kiamadaaah huu ni uonevu kwa wanyama
kitabu cha allah hichoDuh,wanyama wakishasikilizwa watageuzwa mavumbi .Mtu utawezaje kuamin hii pumba.
Ni kweli, you are right. Na kama wanyama watafufuliwa halafu watasikilizwa halafu watakuwa udongo tena swali la nyongeza sasa kuna haja gani ya kuwafufua.Kuwa mpole kijana !! Akijibu kwa ufasaha hata we mwenyewe utaona!!
Hapo kwa mnyama aliyemwonea mnyama, then wote udongo, does it make sense!?Wanyama wataulizwa ili kama kuna binadamu aliye mtendea mnyama uovu mfano kumuua bila sababu ya kumla,kumuuza,au mnyama mharibifu,au kuna mnyama aliyemuonea mnyama mwingine mungu atapitisha hukumu na kugawa haki kwa kila aliyeonewa
Muumba wa ubongo anajua kinachotukia tunapokufa. Anajua ukweli na katika Neno lake, Biblia, anaeleza hali ya wafu. Biblia inafundisha hivi waziwazi: Mtu anapokufa, hayupo tena. Kifo ni kinyume cha uhai. Wafu hawaoni, hawasikii wala kufikiri. Hakuna sehemu yoyote ya mwili wetu inayoendelea kuishi baada ya mwili kufa. Hatuna nafsi au roho isiyoweza kufa.Baada ya Sulemani kutaja kwamba walio hai wanajua kwamba watakufa, aliandika hivi: “Lakini wafu, hawajui lolote kamwe.” Kisha akafafanua kweli hiyo ya msingi kwa kusema kwamba wafu hawawezi kupenda wala kuchukia na kwamba “hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi.” (Mhubiri 9:5, 6, 10) Vivyo hivyo, andiko la Zaburi 146:4 linasema kwamba mtu anapokufa, “mawazo yake hupotea.” Sisi hufa wala hatuendelei kuishi baada ya mwili kufa. Maisha yetu ni kama moto. Unapozimika, hauendi popote. Haupo tena.Wale wataalamu wa mambo ya kidini awe Muislam au Mkristo au hata Mhindu naomba kueleweshwa kuhusu Peponi na Jehanamu.
Imekua kawaida ya binadamu kujizungumzia yeye mwenyewe kwamba ndio ataenda peponi au Jehanamu lakini tukirudi katika vitabu vya dini tunaambiwa Mungu alituumba sisi pamoja na wanyama wengine kama Ng'ombe,Kuku, Mbwa nk.
Sasa swali langu ni je baada ya hao wanyama kufa either kwa kuliwa na sisi binadamu au kwa namna nyingine nao wataenda Mbinguni ?
Hayo yote ni nje ya mada.Muumba wa ubongo anajua kinachotukia tunapokufa. Anajua ukweli na katika Neno lake, Biblia, anaeleza hali ya wafu. Biblia inafundisha hivi waziwazi: Mtu anapokufa, hayupo tena. Kifo ni kinyume cha uhai. Wafu hawaoni, hawasikii wala kufikiri. Hakuna sehemu yoyote ya mwili wetu inayoendelea kuishi baada ya mwili kufa. Hatuna nafsi au roho isiyoweza kufa.Baada ya Sulemani kutaja kwamba walio hai wanajua kwamba watakufa, aliandika hivi: “Lakini wafu, hawajui lolote kamwe.” Kisha akafafanua kweli hiyo ya msingi kwa kusema kwamba wafu hawawezi kupenda wala kuchukia na kwamba “hakuna kazi, wala utungaji wala ujuzi wala hekima katika Kaburi.” (Mhubiri 9:5, 6, 10) Vivyo hivyo, andiko la Zaburi 146:4 linasema kwamba mtu anapokufa, “mawazo yake hupotea.” Sisi hufa wala hatuendelei kuishi baada ya mwili kufa. Maisha yetu ni kama moto. Unapozimika, hauendi popote. Haupo tena.
hayo yote sio sababu ya kusema kuniambia kuna pepo au jehanum labda unithibitishie uwepo wake.wewe una akili ya kujenga nyumba ujikinge na mvua,ukiumwa unatengeneza dawa,unapona,wakat hayo nguruwe na nyani hawawez,hyo tofaut imekujaje?!..unataka kuishi kwenye nyumba(dunia) ya mtu bila sheria,we unaweza,fanya dhambi zako,jidanganye,ila mauti yakikufika utakutana nae
nikuthibitishie kivipi,uktaka nikuoneshe 'ile pale' siwezi,ila kama umekubali post yangu ya awali basi mwenye nyumba ndo asemavyohayo yote sio sababu ya kusema kuniambia kuna pepo au jehanum labda unithibitishie uwepo wake.
mwenye katuachia tule goodtime sema wapambe ndio wanaleta stori za kutu controlnikuthibitishie kivipi,uktaka nikuoneshe 'ile pale' siwezi,ila kama umekubali post yangu ya awali basi mwenye nyumba ndo asemavyo
Maandiko ya awali ya kiebrania yanaonyesha palikuwa na dampo nje ya mji wa Jerusalem ambalo moto wake ulikuwa hauzimiki.Kwani wewe umetokea duniani?au umeikuta dunia?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
good time kuwaibia wenzenu,kuwaua,kuwadhukumu,kuwagongea n.k,lazma pawe na malipo,pa-balancemwenye katuachia tule goodtime sema wapambe ndio wanaleta stori za kutu control