Kama binadamu wote wataenda Peponi au Jehanamu vipi kuhusu wanyama wengine?

So unamaanisha kumuuza mnyama ni dhambi? Pia kama nimekuelewa vizuri mnyama aliyemtendea mnyama mwingine uovu ataadhibiwa kabla ya kugeuzwa vumbi (chui wote wataadhibiwa sababu chui anaweza ua wanyama sita akala mmoja?)
Mwadamu anaruhusiwa kumuuwa kwa ajili ya kuuza nyama apate fedha,nyama ya kula na nahitaji mengineyo,ila hairuhusiwi kumuua mnyama bila sababu ya msingi labda awe hatari kwa uhai wako,mharibifu WA mazao au muenezaji WA magonjwa,,ama mnyama huweza kumuwinda mnyama mwingine kwa ajili ya kula pia,,hayo sio makosa Hata unapomuona chui anauwa wanyama wawili na kula mmoja sio makosa kwa sababu either atamla hiyo mwingine baadaye au pia asipomla ataliwa na wanyama wengine ambayo hawawezi kuwinda wanyama wakubwa ,,,na kwa mnyama aliye mpiga mwenzake pembe au mateke bila sababu ya kujilinda lazima atahukumiwa kabla hajageuzwa kuwa vumbi
 
Kama ukisema hiyo ni pumba. Unaamini nini pumba ya kuwa utafufuliwa. Vipi unaamini pumba kwamba utalipwa. Vipi pumba ya kuwa eti kuna pepo na moto. Vipi unaamini ukifa kuna maisha mengine kabla ya siku ya hukumu. Pumba, pumba, pumba. Unavyoita maneno ya Mungu ni pumba basi wewe unauwezo mzuri wa kusema kuliko yule aliye kuumba PUMBA WEWE
 
Nimekuuliza wewe.umetokea duniani ghafla.au kuna sehemu ulikuwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 

Kwenda Peponi au Jehanamu kunatokana na jinsi mtu alivyoishi hapa duniani katika mpendeza Mungu au kuwa Muovu na kuishia motoni. Matendo ya kila mtu yanarekodiwa na mwisho wa siku kila mtu anapata haki yake. Ndege na wanyama hawana dhambi kwa maana hawajui baya wala zuri la kutenda So hakuna hukumu juu yao kwa maana hawana ufahamu wa kujua zuri wala baya.

Adamu aliamuliwa na Mungu atunze bustani wanyama na ndege ni chakula kwake.

Haya ni kwa Imani ya kikristo.

Au ulifikiri kuna mnyama anastahiri hukumu siku ya mwisho? Nguruwe je? au simba?
 
Mungu akuumba jehanam, na wala akuumba pepo ili binadamu akae.
Sehemu aliyoumbiwa binadamu kukaa ni dunia.
Kama kuna kufufuliwa basi ni hapahapa duniani.
kweli mkuu hio jehnam lni kwajili ya shetan tu sie tutabaki hapahapa
 
Kwani kuna mtu aliyekwenda huko peponi au jehanamu atupe ushaidi tucendelee kuumiza vichwa kama hakuna kwann tuamini vipi na kwa nn pasiwe na ushahid
Kama hakuna ushahidi bac hiyo pepo wala jehanam hakuna wactutishe waache tuendelee kula bata
 
Kwani kuna mtu aliyekwenda huko peponi au jehanamu atupe ushaidi tucendelee kuumiza vichwa kama hakuna kwann tuamini vipi na kwa nn pasiwe na ushahid
Kama hakuna ushahidi bac hiyo pepo wala jehanam hakuna wactutishe waache tuendelee kula bata
Ukifa utaenda kujionea mwenyewe[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
wao nao wana kiunganishi chao na aliyewaumba.....ya kaisari muachie kaisari......
kwa mfano kule jahanamu au peponi....ukijikuta upo peke yako...fikra ya kwanza utawaza ng'ombe na mbuzi ndio wakuondolee upweke...??...la hasha utawawaza wanadamu wenzako..........hali kadharika..wanyama nao wameumbiwa mahala pao.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…