Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Uwezo aliokuwa nao Yanga ni mkubwa tena ni wa kutisha katika medani za soka barani africa. kiukweli kweli kabisa Marumo Gallant walikuwa hatari sana na wakalala mabao mawili kwao africa kusini.
Recodi hii inanipa ubavu wa kuamini 100% ya kuwa Yanga kesho ataifunga algeria timu ya USM Alger bila ya wasi wasi. Mungu ibariki YASC. forward ever not turning back!
Recodi hii inanipa ubavu wa kuamini 100% ya kuwa Yanga kesho ataifunga algeria timu ya USM Alger bila ya wasi wasi. Mungu ibariki YASC. forward ever not turning back!