Kama Bulembo anaweza kumdhaliisha Polepole, upi usalama wa waliounga juhudi mkono wakateuliwa nafasi mbalimbali?

Huyu mzee anadai hata diplomasia iliharibiwa na Kayafa mkuu RIP kupitia prof wa dump la takataka Kabudi

Huyu anaemdhihaki Magufuli ni mtu anayejinasibu kuwa alikuwa nae karibu kiasi kwamba hata nguo walikuwa wanabadilishana wakati wa kampeni!! Je kama ni kweli Rais Samia anajifunza nini juu ya unafiki wa hawa wanachama wake wa ccm? Tukumbuke Bulembo na familia yake ni wanufaika wakubwa wa URAIS wa mwendazake!!!
 
Aysee..namkumbuka huyu Bulembo kpmd akiea mwenyekit wa umoja wa wazaz...alikuja shuleni akiwa kama mwenyekit wa shule zote za umoja wa wazazii....yaan jamaa alikuwa anaongea kwa dharau zilizopitilizaa....aliambatana na huyu naskia mnamwita Lemutuz humu...yaan alikuwa anaongea kwa kujisifia kwamba pamoja na baba yake Malechela kuwa wazir ila alisoma USA kwa kutegemea ada ya kuosha vyombo kwenye mahotel...hapa ndo nkaona viongozi wanatuchukulia sie mandezi sanaa
 
Nimeelewa!
 
Koti la uandishi wa habari na utangazaji Redio Tanzania na Chuo cha Diplomasia hajisemi sana
 
Naona kama chama sasa ni uwanja wa rafu. Tusubiri tuone maamuzi ya refu.
 

Unafiki wa kina Bulembo, Nape, Makamba na wengine ni extension tu ya unafiki wa Rais wa kambo (aka Mama lao au Chifu Hangaya). Samaki huoza kuanzia kichwani!
 
Polepole anafanya mass indoctrination. Which is very necessary.
Huwezi tu kufocus katika" kuisafisha "serikali.
Huyu Samia Suluhu atafukuza watu kushoto na kulia. Ikishafika critical number,wenzake watamtimua.
 
Pole! Sitakosea kusema: "CCM is a gang of opportunists".
 
Kiroboto ameyataka mwenyewe wacha yamkute.,
 
Kweli alimtosa Yule rafiki yake wa Mambo ya ndani,hakutishiwa nyau.
 
Umeongea ukweli mkuu
Hawa wazee wanchokiangalia ni pesa pesa pesa. Na matumbo yao
 
"Wanaumana na kukanyagana" alisikika mmasia mmoja hivi akimwambia msukuma machungoni
 
Mimi sisiemu wakipigana mabanzi huwa nafurahi sana

Chadema wasalitiana nawasikitia wanavyopteana[emoji2]

Siasa za bongo full comedy

Watu wazima na ndevu wanageuka kuwa wapashunaku. Wachambaji

Bulembo yeye,mwanae,na mkewe wote walikula teuzi mamilioni yakimiminika ndani ya paa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…