Kama Bulembo anaweza kumdhaliisha Polepole, upi usalama wa waliounga juhudi mkono wakateuliwa nafasi mbalimbali?

Taratibu watatokea wengine kibao watamnanga jiwe [emoji1787]
 
Reactions: G4N
Sure kabisa polepole atulie tu kuna zama na kitabu chake na kuna watu upepo mkali ukivuma unapaswa kuchill tu.
 
Huyu Mzee ni mwizi wa mali za CCM. Jumuhiya ya wazazi. Anatafuta njia ya kurudisha mali alizo nyang'anywa na JPM kurudishwa chamani.
Safi sana Bashiru na kamati yake. Ndiyo maana anawalaumu ...... eti walikuwa wapinzani (CUF na Chadema ACT)
 
Kweli alimtosa Yule rafiki yake wa Mambo ya ndani,hakutishiwa nyau.

Huyu Bulembo baada ya kutembea na Jiwe wakati wa kampeni alitegemea kuwa angeteuliwa kuwa waziri wa MICHEZO; alipokosa uteuzi ndio akaanza kufanya fitina za chini chini dhidi ya Jiwe na hilo likagundulika !! Sasa Jiwe hayupo ndio anaonesha dhahiri yeye ni mtu wa aina gani!!
 
Huyu Mzee ni mwizi wa mali za CCM. Jumuhiya ya wazazi. Anatafuta njia ya kurudisha mali alizo nyang'anywa na JPM kurudishwa chamani.
Safi sana Bashiru na kamati yake. Ndiyo maana anawalaumu ...... eti walikuwa wapinzani (CUF na Chadema ACT)

Mbona huyu Mzee anajinasibu kuwa alimgomea Bashiru kuhahakiki mali zake!! Kumbe alinyang'anywa mali odio maana anafura!!! Ni mwizi anayetakiwa kufunguliwa mashitaka.
 
Hizo zote ni njaa tu,Pole pole angekua bado ni katibu mwenezi pale CCM asingekuwa ktk hali aliyonayo leo wala asingekuwa anakosoa serikali,huyo mzee nae anatka chochote ktk awamu hii!wanasiasa wa nchi yetu wanahtaji mabadiliko makubwa.
Kwanza wawe na uwezo wa kujitegemea kiuchumi bila msaada wa vyeo vya kupewa
 
Sukuma gang mmeishapigwa ngwala, ungana na wakombozi wa nchi hii chadema kudai katiba mpya
 





Bulembo kadanganya mbele ya umma na wanahabari wameshindwa kumpa rejea ya picha kuthibitisha, shati alilokuwa nalo Polepole siku anakabidhiwa ofisi sio la "kuazima" kama ambavyo amewahadaa wanahabari na Watanzania.

Bulembo anadai Bashiru ni mwanachama wa CUF, uanachama unatambuliwa kwa kadi ya uanachama na michango. Basi walau angetoa kadi ya uanchama wa Bashiru kama alikuwa CUF na lini ili kuwa na "evidence" ku-justufy hoja zake.

Kuna mengi Humphrey Watanzania tutakuwa hatukubaliani nae, ila namna bora ya kumpinga ni kumjibu kwa hoja zenye ubora na mashiko. Ila badala ya kumjibu kwa hoja wanakusanyika kila siku na kumshambulia yeye binafsi, naona hapo ndipo anazidi kuwatoa kwenye reli.

Kama Humphrey angekuwa anatetea ugali wake binafsi, bila shaka angepigwa mawe na watu wengi sana, ila kwa kutetea utekelezaji wa miradi ya serikali ikiwamo JNHPP ikamilike kwa wakati ili kwa kuingia MegaWatt 2100 zilete unafuu na uhakika wa kupatikana kwa nishati, jambo hili likifanyika sio tu ni faida kwa TANESCO ambayo itaongeza mauzo ya umeme kwa Watanzania, kuna potential ya kuzalisha bidhaa kwa gharama nafuu kama nishati itakuwa ya kutosha na affordable.

Mwl. Nyerere alikuwa akiwakosoa akina mzee Ruksa, Mzee Malecele hadharani; inawezekana Humphrey asiwe na hadhi ya "mchonga" ila wakijibu hoja zake kwa facts na kwa utekelezaji atanyamaza na Tanzania itashinda.
 
Kama aliongozana na Le Mutuz...kwisha habari.
 
Ndolanga siku hizi Yuko wapi Mana alikuaga mbabe Sana pale FAT n

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndolanga siku hizi Yuko wapi Mana alikuaga mbabe Sana pale FAT n

Sent using Jamii Forums mobile app

Tanzia: Muhidini Ndolanga Afariki Dunia​

September 18, 2021

 
Ndio maana busara zinaniambia ni heri Polepole asijibishane atulie tuu, kila jambo lina majira yake.
 
Baada ya nyumba ya Polepole kuvunjwa na kuibiwa polisi walitakiwa wamkamate Bulembo na kumhoji kwani kauli zake zimeendana na yaliyomkuta Poleploe
Polisi gani unaongelea hapa?
Wale wale waliomwambia Mbowe hawezi mshinda mgombea wa CCM
Au kuna wengine wasio chini ya Zero?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…