johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siyo kazi ya Mkaguzi kutafuta risit zilizopote.Kama hakuona risit za kieletronic mpaka anatoa report yake ni juu yao walikaguliwa.Kama walipoteza ilikuwa ni jukumu la wizara kufuatilia na kumuonyesha mkaguzi.Jana alisikika meneja wa fedha wa Clouds media akidai kuwa taasisi yake iliwasilisha kwa CAG risiti zote za kielectronic kama alivyoagiza na siyo kweli kwamba kuna utata katika malipo waliyolipwa na wizara ya maliasili na utalii.
Ndiposa natafakari kama meneja huyo wa fedha bwana Masoud anasema ukweli basi kuna tatizo kubwa kwenye hiyo taarifa ya CAG ihusuyo ukaguzi.
Ni vema CAG mheshimiwa Kicheere akalitolea ufafanuzi hili jambo.
Ukinizingua Nitakuzingua!
We pimbi lini CAG akakagua private company?Jana alisikika meneja wa fedha wa Clouds media akidai kuwa taasisi yake iliwasilisha kwa CAG risiti zote za kielectronic kama alivyoagiza na siyo kweli kwamba kuna utata katika malipo waliyolipwa na wizara ya maliasili na utalii.
Ndiposa natafakari kama meneja huyo wa fedha bwana Masoud anasema ukweli basi kuna tatizo kubwa kwenye hiyo taarifa ya CAG ihusuyo ukaguzi.
Ni vema CAG mheshimiwa Kicheere akalitolea ufafanuzi hili jambo.
Ukinizingua Nitakuzingua!
Masoud amesema malipo yaliyofanyika ni halali kwa mujibu wa nyaraka na sheria.Dogo, kila siku unani aibisha JamiiForums, kwa kuwa na kichwa kigumu kuelewa.
CAG alisema malipo yalifanyika ila bila "MKATABA (Makubaliano Ya Kisheria)". Hajasema kwamba hakuoneshwa receipt za malipo, alioneshwa hizo receipt, ila malipo yalifanyika bila makubaliano yoyote baina ya Wizara Ya Maliasili na hivo vyombo husika.
Kivipi, hela walizolipwa "Clouds TV/Wasafi TV/TBC" zililipwa "KIENYEJI". Makubaliano yalifanyika kienyeji either kwa kutumia mdomo au sms au facebook au instagram ila sio kisheria, hazikuwa na maandishi ya mkataba kisheria kuthibitisha kwamba zimelipwa pesa kwa mantiki gani na kwa kazi gani.
Kisheria, kama hakuna makubaliano
SWALI KWAKO:
1) Unaweza ukampa mtu milioni 800 akufanyie kazi fulani bila maandishi??? Umpe hela kiasi hicho halafu umwambie nifanyie kazi fulani???
2) Mfanyakazi wako akitoa kiasi hicho cha fedha na kumpa mtu afanye kazi fulani kwa niaba ya ofisi kwa kutumia mdomo, bila maandishi yoyote kuthibitisha malipo yamefanyika kwa sababu zipi. Utafanya nini???
Kwani ni dhambi?Kwa mara ya kwanza nasikia CAG anakagua Private Companies, maajabu ya dunia haya🤣🤣🤣🤣
kusema tu haitoshi. watu wanataka evidence.Jana alisikika meneja wa fedha wa Clouds media akidai kuwa taasisi yake iliwasilisha kwa CAG risiti zote za kielectronic kama alivyoagiza na siyo kweli kwamba kuna utata katika malipo waliyolipwa na wizara ya maliasili na utalii.
Ndiposa natafakari kama meneja huyo wa fedha bwana Masoud anasema ukweli basi kuna tatizo kubwa kwenye hiyo taarifa ya CAG ihusuyo ukaguzi.
Ni vema CAG mheshimiwa Kichere akalitolea ufafanuzi hili jambo.
Ukinizingua Nitakuzingua!
msamehe hajui hata mipaka ya kazi ya CAGWe pimbi lini CAG akakagua private company?
sheria zilizotungwa si yeye. yeye hawajibiki na private institutions.Masoud amesema malipo yaliyofanyika ni halali kwa mujibu wa nyaraka na sheria.
Aliyelipwa amekubali kuwa ni kweli amelipwa na risiti za kielektroniki alitoa
Na kama CAG nguvu yake inaishia kwenye kukagua upande mmoja tu bila kujiridhisha upande wa pili basi anatumia mbinu za kizamani sana.