Kama CAG amewaonea Clouds Media atashindwaje kuzionea taasisi nyingine kama ATCL n.k?

Hapo ndipo wengi wanaposhindwa kuelewa...amekagua serikali na taasisi zake tu
 
Huyo jamaa wa Clouds ilikuwa ni lazima aisafishe taasisi yake hata kwa kupindisha kidogo uhalisia wa kashfa iliyopo...kwa sababu anafahamu CAG hawezi kuanza kujibizana na Clouds
 
Umeziona hizo risiti za kielectronic??
 
Mhhh..mkuu kwani aliyelipa si wizara ya maliasili? Si ndiyo ilipolipa ilipewa risiti? Kwa nini haikumuonyesha risiti CAG wakati wa ukaguzi? Mdau mwingine amesema kuwa malipo yote na kazi yenyewe haikuwa na mkataba ikimaanisha kuwa mambo yalienda kienyeji..huoni kama hapo kuna dalili za wazi za upigaji???
 
Risiti za zile mashine za vichochoroni haziwezi kuonekana Maliasili.
 
Bwazee, usione akina Zitto wanajifaraghua, CAG huibua hoja na zikipata majibu, huwa hakuna tatizo. Hivyo sio kila hoja ni ufisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…