Kama CCM hawatatimiza Bilioni 500 kwenye harambee yao nipigwe ban ya maisha

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Hello!

Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.

Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.

Turudi kwenye mada.

CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.

Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.

Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.

Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.
 
Kuna Mwenzio Alijiapiza Kwamba
PSG Asipo Mfunga Chelsea 5-0 Final
Apigwe Ban Ya Mwaka.

Alipopigwa Ban Kweli,akaanza Kuomba Msamaha,alipokataliwa
AMEFUNGUA NEW JF ACCOUNT.

Nyie Ndio Mnaojaza Invalid Accounts Humu Jf
Isikute Ww Ndio Yuleyule Wa PSG Asiposhinda Ule Ban,hauna Aibu ?
 
Kwani akimbiwa Governer wa BOT atoe pesa kupeleka kwenye account ya CCM kisha zikasemwa zilichangishwa nani anaweza kukataaa.
Nchi za kiafrika itatuchukua karne kuendelea.
 
Sijajua umri wako lakini utakuwa una akili za kuchakata mambo, hivi wakienda kujichotea iwe benki kuu au taasisi yoyote kuna wakuwashtaki?

Hizo ni drama tu pesa wanazo wanajichotea,watanzania si tumelala usingizi wa pono.
 
rost tamu ni adui wa Taifa wa kimyakimya. waTanganyika ni watu wa hovyo, I declare!
 
Hello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.
Hauna chama wala hauwezi kumshabikia mwanadamu!Cha ajabu unajiita@NikopamojanaSamia
 
Hello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.
Upo kwa Samia? Una akili timamu? Yamekupa baiskeli, yenyewe yanatumia V8. Leo yanakuchangisha billion 100. Wewe una akili kweli? Umerogwa na nani? Jinga kabisa
 
Hello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.
tupate na majina na kiasi kwa kila aliyechangia mkeka uletwe humu.
 
Sasa magufuli aliukuzaje uchawa ingawaje yeye mwenye hakuwapenda matajiri
 
downloadfile-6.jpg
 
Hello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.

Walishafika na kuvuka hiyo collection kabla hata hawajatutangazia kenge...
 
Hello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.
Matajiri wote mikoani watatoa pesa. Watapewa Kadi za mialiko . Tuna mikoa 26 kila mkoa utoe billion 5 itafikia lengo la billion mia mo. Ila kuna mikoa ina matajiri wachache
 
Back
Top Bottom