Hello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.