Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
wanawachukulia waTanganyika kuwa ni mazuzu. na kweli kama sio mazuzu kwanini hawastuki?????! 😏Mnatakatisha pesa mlizowaibia watanzania
Kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake
Hauna chama wala hauwezi kumshabikia mwanadamu!Cha ajabu unajiita@NikopamojanaSamiaHello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.
Upo kwa Samia? Una akili timamu? Yamekupa baiskeli, yenyewe yanatumia V8. Leo yanakuchangisha billion 100. Wewe una akili kweli? Umerogwa na nani? Jinga kabisaHello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.
Ahahaha 🤣 🤣Upo kwa Samia? Una akili timamu? Yamekupa baiskeli, yenyewe yanatumia V8. Leo yanakuchangisha billion 100. Wewe una akili kweli? Umerogwa na nani? Jinga kabisa
tupate na majina na kiasi kwa kila aliyechangia mkeka uletwe humu.Hello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.
Abooodtupate na majina na kiasi kwa kila aliyechangia mkeka uletwe humu.
lete mkeka wa pdf hapa..Aboood
Chief Godlove
Diamond Platinum
Sasa magufuli aliukuzaje uchawa ingawaje yeye mwenye hakuwapenda matajiriHello!
Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani.
Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia.
Turudi kwenye mada.
CCM inafanya harambee kubwa. Imesambaza mialiko kwa matajiri na wafanyabiashara wote.
Nchi hii inaendeshwa kwa kuzingatia uchawa na si maadili. Hii tabia ya uchawa aliikuza Magufuli. Yule mzee totally aliiharibu nchi.
Wafanyabiashara wetu mnawajua janjajanja zao za ukwepaji kodi. Na wasomi wetu mnawajua uchawa wao. It's like we have dead elites.
Hii harambee itavuna mabilioni mengi sana zaidi ya malengo yake ya 100 tzs billions.
Hello!

Matajiri wote mikoani watatoa pesa. Watapewa Kadi za mialiko . Tuna mikoa 26 kila mkoa utoe billion 5 itafikia lengo la billion mia mo. Ila kuna mikoa ina matajiri wachacheHello!