THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion.
Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole.
Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua haisemwi wala kuzungumzwa Mahala popote vitu ambavyo naamini hata Mwenyekiti wa UVCCM Taifa havijui.
Muogope sana Mtu anakwambia kama unabishana na hili Muulie mzee flani ambae hata wewe unamjua kabisa huyu mzee amekaa juu pale miaka na yupo ndani ya chama miaka nenda rudi.
Kwa kumaliza Polepole hawez jibiwa na UVCCM yeyote hii Nchi labda kama wanapoteza Mda tu.
Mexico🇲🇽