Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Pamoja na kwamba akina Msekwa walitupiga changa sehemu nyingi wakati wanaandika Katiba, hawakuwa mazwazwa kiasi cha kushindwa kuliona hili na kuliweka sawa.Kumekuwa na ubishi kuhusu kama kwa sasa Samia Suluhu anaongoza awamu ya tano au ya sita. Labda hilo sio jambo la maana. Jambo la msingi ni kwamba raisi Samia Suluhu anaongoza awamu ambayo haitambuliki kikatiba kama ni awamu yake ya kwanza ya uongozi,
Bado mapema sana,huyu ni CCM ujue.Kwa jinsi huyu mama alivyo mwema & mwerevu hata akituongoza miaka 24 mimi sioni tatizo
Utawala wa kayafa aliyekuwa anaona fahari sana kuwaumiza watu kwa vijisababu vya kitoto & kijingaNchi haitarudi kwenye utawala ule dhalimu wa awamu ya 5.
Kama tulivyotaka kuikiuka enzi za mwendazake, tutaivunja katiba ili tumpe mingine 10 tena...Hujui katiba ficha ujinga
Katiba sio msahafu....Huhitaji kukaa madarakani miaka mingi ili ukete mabadiliko.
Kwa mujibu wa katiba, (sikumbuki kifungu), Rais aliyepo madarakani akifariki, makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais, na huyo Rais aliyeapishwa, kama muda uliobakia wa Rais aliyefariki si chini ya miaka 3, kipindi anachomalizia cha Rais aliyefariki, kitahesabika ni kipindi chake cha kwanza. Hivyo kwa mujibu wa katiba, Mama Samia atakuwa amebakiwa na kipindi kimoja cha kugombea. Hiyo ndiyo sababubua Serikali hii kuitwa awaku ya 6.
Hiyo miaka 9, na hata akiamua asigombee, ndani ya hii miaka yake 4, akijishughulisha zaidi na kujenga taasisi imara, akianzia na katiba bora mpya, nchi itakwenda vizuri na kwa mafanikio makubwa. Nchi haitarudi kwenye utawala ule dhalimu wa awamu ya 5.
Mataga ni Wahutu/ Warundi wanaojificha kwenye Usukuma, Al-Maarufu SUKUMA GANG.Vipi kwa Lisu?
Mataga ni kina nani?
Mtafanya Mungu ampende zaidiKama tulivyotaka kuikiuka enzi za mwendazake, tutaivunja katiba ili tumpe mingine 10 tena...
Atake asitake...
Aisee..Mataga ni Wahutu/ Warundi wanaojificha kwenye Usukuma, Al-Maarufu SUKUMA GANG.
Wanaroho mbaya sana, wanateka, kutesa na kuua watanzania.
😲🤣Mama tunae mpk 2045
😲🤣🤣Kama tulivyotaka kuikiuka enzi za mwendazake, tutaivunja katiba ili tumpe mingine 10 tena...
Atake asitake...