Kama CCM wakifuata utaratibu wao wa kutompinga Rais aliyepo katika kuteua mgombea, basi Samia Suluhu anaweza kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 14

Atake asitake ataongezewa muda tu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Shukran sana
 
Katiba inasema nafasi yake kugombea urais ni moja tu baada ya kupokea kijiti full stop.

Hata, hiyo kesho unaijua ina rangi gani?

As we converse on the platform the majority are disarrayed
 
Habari njema sana hiyo kiongozi. Tunamuhitaji huyu mama kwa muda mrefu zaidi, hao wanaomkashifu huyu mama washindwe na walegee.
atuulie tu majambaz mtaan bas kazi yake tutaiimba milele! maana si kwa ujambazi huu ulivokuja kwa kasi
 
shukran.

Tahadhari tu ni kutokea kwa janja kama ya Cote d'Ivoire ambapo wanachangamkia mabadiliko ya Katiba kama wapinzani wanavyopenda na baadaye kudai kuwa 2025-... itambuliwe kama awamu ya kwanza kwa Mama kwa mujibu wa katiba mpya. Yote yanawezekana katika nchi zetu hizi. Na yote yanategemea matakwa ya watakaokuwa wameshika mpini huko CCM.
 
Kwa mujibu wa katiba Samia Suluhu hawezi kugombea tena awamu 2 . Hivyo anaweza kuwa Rais kwa miaka 4 au 9 tu.
 
Duuhhh mkuuu umepitia katiba??

Kama makamo wa Rais, kawa Rais kukiwa kumebaki miaka zaidi ya mitatu

Basi ataruhusiwa kugombea mara moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…