Kama CCM wakifuata utaratibu wao wa kutompinga Rais aliyepo katika kuteua mgombea, basi Samia Suluhu anaweza kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 14

Who cares?! Aongoze hata milele!
Cha msingi, biashara zinafufuka upya.

Wale wa posho za kusindikiza misafara ya Dar Geita Kagera, ndiyo watakaoathiirika.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Uchambuzi murua huu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 


Sheria ni kwamba ukipata Uraisi kama Makamu unakaa muda uliobakia na kugombea muhula mmoja sio miwili! Hivyo haiwezekani akawa Raisi wa miaka 14!
 
Duh..kama Samia atakua Mtanzania wa Kwanza kuongoza zaidi ya miaka 10?..Je Nyerere alikua ni mhutu?!
 
Na hiyo minne haijafika , binadamu wanaanza ramli
 
Tunabadilisha katiba tunampa mama utawala wa milele ili awatokomeze kabisa genge la MATAGA 😎
 
40.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti hicho.

(2) Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais.

Tuanzie hapo kwanza, Samia Suluhu akichaguliwa kuwa Raisi hiyo 2025, atakuwa amechaguliwa mara ngapi? Na hapa tunaongelea kuchaguliwa na nani? Samia alichaguliwa lini?
 
Yuko pale for life, mbona hateui huko Zanzibar si Rais huko Pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…