GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka.
Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi anakera kama si Kuboa pia sometimes.
Dogo Tajiri Yusuf Bakhressa umeshatonywa ( umeshaambiwa ) mno juu ya hili na hasa hawa Wanafiki na Wasaliti Waandamizi wawili Unaowaaamini ( sijui Wamekuroga ) ulionao Azam FC kuwa pia ndiyo Kikwazo cha Azam FC yako kufanya vyema ndani na nje ya nchi ila hutaki Kusikia halafu Azam FC ikifanya hovyo unakimbilia Kuwalaumu Waamuzi na TFF kuwa Wanakuonea wakati kumbe Maadui zako Wakubwa Wawili unao na Umewakumbatia hapo hapo Azam FC yako.