Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Hiyo meli ilishaenda mbali saaana yaani. Suala la kumrudisha mbowe ni kuvuruga taswira nzima ambayo imeshajengwa na kina hecheKwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko kwenye jamii. Pengine huko mitandao wako huru zaidi kuliko nje
Unaweza kuona namna Heche na wenzake walivyoisukuma No reforms No election wakati Tundu Lisu akiwa katikati ya nondo za keko halafu unawaza huu mziki angekuwepo na yeye ingekuwaje sasa hivi?
Ni wazi kabisa Heche na wenzake walipofikia wanahitaji "back - up" itakayowarahisishia kazi hasa ukizingatia Oktoba bado ni mbali sana na wanaweza kuzidiwa na dola humo katikati
Yawezekana mwanzo Mbowe hakuamini kama watu wataipokea No reforms No election kama walivyoipokea. Huko aliko "mapumzikoni" ameona mwitikio wa watu. Naamini anafaa kuwa "back - up" ya muhimu sana hapo katikati kwasababu kuna kila dalili ya Tundu Lisu kucheleweshwa kumaliza kesi yake hadi uchaguzi upite
Hali ilivyo hawawezi kumuachilia wala kumuhukumu kwa sasa kabla ya uchaguzi. Aliyebaki mwenye uzoefu wa nginja nginja na dola ni Freema Aikael Mbowe. Kwangu mimi naona waweke tofauti zao pembeni wamuingize kwenye game asaidie vijana ili dola ipate funzo la kuheshimu nguvu ya umma
Ushauri wako kuhusu Mbowe unatupa mashaka kuhusu nia yako. Siasa za sasahivi hazihitaji Mtu anayetetemekea Pesa. Zonahitaji watu wenye nia ya dhati ya kuwakomboa kweli Watanzania.Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko kwenye jamii. Pengine huko mitandao wako huru zaidi kuliko nje
Unaweza kuona namna Heche na wenzake walivyoisukuma No reforms No election wakati Tundu Lisu akiwa katikati ya nondo za keko halafu unawaza huu mziki angekuwepo na yeye ingekuwaje sasa hivi?
Ni wazi kabisa Heche na wenzake walipofikia wanahitaji "back - up" itakayowarahisishia kazi hasa ukizingatia Oktoba bado ni mbali sana na wanaweza kuzidiwa na dola humo katikati
Yawezekana mwanzo Mbowe hakuamini kama watu wataipokea No reforms No election kama walivyoipokea. Huko aliko "mapumzikoni" ameona mwitikio wa watu. Naamini anafaa kuwa "back - up" ya muhimu sana hapo katikati kwasababu kuna kila dalili ya Tundu Lisu kucheleweshwa kumaliza kesi yake hadi uchaguzi upite
Hali ilivyo hawawezi kumuachilia wala kumuhukumu kwa sasa kabla ya uchaguzi. Aliyebaki mwenye uzoefu wa nginja nginja na dola ni Freema Aikael Mbowe. Kwangu mimi naona waweke tofauti zao pembeni aingie ulingoni kama asaidie vijana ili dola ipate funzo la kuheshimu nguvu ya umma
Usituletee upuuzi wako wa Chauma hapa🚮🚮🚮🚮Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko kwenye jamii. Pengine huko mitandao wako huru zaidi kuliko nje
Unaweza kuona namna Heche na wenzake walivyoisukuma No reforms No election wakati Tundu Lisu akiwa katikati ya nondo za keko halafu unawaza huu mziki angekuwepo na yeye ingekuwaje sasa hivi?
Ni wazi kabisa Heche na wenzake walipofikia wanahitaji "back - up" itakayowarahisishia kazi hasa ukizingatia Oktoba bado ni mbali sana na wanaweza kuzidiwa na dola humo katikati
Yawezekana mwanzo Mbowe hakuamini kama watu wataipokea No reforms No election kama walivyoipokea. Huko aliko "mapumzikoni" ameona mwitikio wa watu. Naamini anafaa kuwa "back - up" ya muhimu sana hapo katikati kwasababu kuna kila dalili ya Tundu Lisu kucheleweshwa kumaliza kesi yake hadi uchaguzi upite
Hali ilivyo hawawezi kumuachilia wala kumuhukumu kwa sasa kabla ya uchaguzi. Aliyebaki mwenye uzoefu wa nginja nginja na dola ni Freema Aikael Mbowe. Kwangu mimi naona waweke tofauti zao pembeni aingie ulingoni kama asaidie vijana ili dola ipate funzo la kuheshimu nguvu ya umma
Watu hawafanyi hiki kwa ajili ya Tundu Lissu wala Mbowe!Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko kwenye jamii. Pengine huko mitandao wako huru zaidi kuliko nje
Unaweza kuona namna Heche na wenzake walivyoisukuma No reforms No election wakati Tundu Lisu akiwa katikati ya nondo za keko halafu unawaza huu mziki angekuwepo na yeye ingekuwaje sasa hivi?
Ni wazi kabisa Heche na wenzake walipofikia wanahitaji "back - up" itakayowarahisishia kazi hasa ukizingatia Oktoba bado ni mbali sana na wanaweza kuzidiwa na dola humo katikati
Yawezekana mwanzo Mbowe hakuamini kama watu wataipokea No reforms No election kama walivyoipokea. Huko aliko "mapumzikoni" ameona mwitikio wa watu. Naamini anafaa kuwa "back - up" ya muhimu sana hapo katikati kwasababu kuna kila dalili ya Tundu Lisu kucheleweshwa kumaliza kesi yake hadi uchaguzi upite
Hali ilivyo hawawezi kumuachilia wala kumuhukumu kwa sasa kabla ya uchaguzi. Aliyebaki mwenye uzoefu wa nginja nginja na dola ni Freema Aikael Mbowe. Kwangu mimi naona waweke tofauti zao pembeni aingie ulingoni kama asaidie vijana ili dola ipate funzo la kuheshimu nguvu ya umma
Ataharibu.Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko kwenye jamii. Pengine huko mitandao wako huru zaidi kuliko nje
Unaweza kuona namna Heche na wenzake walivyoisukuma No reforms No election wakati Tundu Lisu akiwa katikati ya nondo za keko halafu unawaza huu mziki angekuwepo na yeye ingekuwaje sasa hivi?
Ni wazi kabisa Heche na wenzake walipofikia wanahitaji "back - up" itakayowarahisishia kazi hasa ukizingatia Oktoba bado ni mbali sana na wanaweza kuzidiwa na dola humo katikati
Yawezekana mwanzo Mbowe hakuamini kama watu wataipokea No reforms No election kama walivyoipokea. Huko aliko "mapumzikoni" ameona mwitikio wa watu. Naamini anafaa kuwa "back - up" ya muhimu sana hapo katikati kwasababu kuna kila dalili ya Tundu Lisu kucheleweshwa kumaliza kesi yake hadi uchaguzi upite
Hali ilivyo hawawezi kumuachilia wala kumuhukumu kwa sasa kabla ya uchaguzi. Aliyebaki mwenye uzoefu wa nginja nginja na dola ni Freema Aikael Mbowe. Kwangu mimi naona waweke tofauti zao pembeni aingie ulingoni kama asaidie vijana ili dola ipate funzo la kuheshimu nguvu ya umma
Mbowe hajatengwa bali yeye mwenyewe kwa sababu anazojua mwenyewe ameamua kukaa pembeni,nafasi yake kama mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema ipo.Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko kwenye jamii. Pengine huko mitandao wako huru zaidi kuliko nje
Unaweza kuona namna Heche na wenzake walivyoisukuma No reforms No election wakati Tundu Lisu akiwa katikati ya nondo za keko halafu unawaza huu mziki angekuwepo na yeye ingekuwaje sasa hivi?
Ni wazi kabisa Heche na wenzake walipofikia wanahitaji "back - up" itakayowarahisishia kazi hasa ukizingatia Oktoba bado ni mbali sana na wanaweza kuzidiwa na dola humo katikati
Yawezekana mwanzo Mbowe hakuamini kama watu wataipokea No reforms No election kama walivyoipokea. Huko aliko "mapumzikoni" ameona mwitikio wa watu. Naamini anafaa kuwa "back - up" ya muhimu sana hapo katikati kwasababu kuna kila dalili ya Tundu Lisu kucheleweshwa kumaliza kesi yake hadi uchaguzi upite
Hali ilivyo hawawezi kumuachilia wala kumuhukumu kwa sasa kabla ya uchaguzi. Aliyebaki mwenye uzoefu wa nginja nginja na dola ni Freema Aikael Mbowe. Kwangu mimi naona waweke tofauti zao pembeni aingie ulingoni kama asaidie vijana ili dola ipate funzo la kuheshimu nguvu ya umma
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristuKwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko kwenye jamii. Pengine huko mitandao wako huru zaidi kuliko nje
Unaweza kuona namna Heche na wenzake walivyoisukuma No reforms No election wakati Tundu Lisu akiwa katikati ya nondo za keko halafu unawaza huu mziki angekuwepo na yeye ingekuwaje sasa hivi?
Ni wazi kabisa Heche na wenzake walipofikia wanahitaji "back - up" itakayowarahisishia kazi hasa ukizingatia Oktoba bado ni mbali sana na wanaweza kuzidiwa na dola humo katikati
Yawezekana mwanzo Mbowe hakuamini kama watu wataipokea No reforms No election kama walivyoipokea. Huko aliko "mapumzikoni" ameona mwitikio wa watu. Naamini anafaa kuwa "back - up" ya muhimu sana hapo katikati kwasababu kuna kila dalili ya Tundu Lisu kucheleweshwa kumaliza kesi yake hadi uchaguzi upite
Hali ilivyo hawawezi kumuachilia wala kumuhukumu kwa sasa kabla ya uchaguzi. Aliyebaki mwenye uzoefu wa nginja nginja na dola ni Freema Aikael Mbowe. Kwangu mimi naona waweke tofauti zao pembeni aingie ulingoni kama asaidie vijana ili dola ipate funzo la kuheshimu nguvu ya umma
Kiukweli hii kampeni imejibu vizuri sana, umma wameielewa vizuri sana. Nadhani wakimaliza awamu ya kwanza ya mzunguko wakae kwenye vikao vyao vyote kuanzia kamati kuu, Baraza kuu na mkutano mkuu Kisha waongeze mikakati ya kulisikia Hilo kwa ufanisi.Kina heche Wako vizuri tu, Cha kufanya kwenye team wanaoweza ongeza baadhi ya watu kama wenyeviti wa Kanda kwa mzunguko. mbowe aendelee kupumzika kwanzaKwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni lakini huo ndio uhalisia wa yanayoendelea kwenye jamii kwasababu walioko mitandaoni ndio walioko kwenye jamii. Pengine huko mitandao wako huru zaidi kuliko nje
Unaweza kuona namna Heche na wenzake walivyoisukuma No reforms No election wakati Tundu Lisu akiwa katikati ya nondo za keko halafu unawaza huu mziki angekuwepo na yeye ingekuwaje sasa hivi?
Ni wazi kabisa Heche na wenzake walipofikia wanahitaji "back - up" itakayowarahisishia kazi hasa ukizingatia Oktoba bado ni mbali sana na wanaweza kuzidiwa na dola humo katikati
Yawezekana mwanzo Mbowe hakuamini kama watu wataipokea No reforms No election kama walivyoipokea. Huko aliko "mapumzikoni" ameona mwitikio wa watu. Naamini anafaa kuwa "back - up" ya muhimu sana hapo katikati kwasababu kuna kila dalili ya Tundu Lisu kucheleweshwa kumaliza kesi yake hadi uchaguzi upite
Hali ilivyo hawawezi kumuachilia wala kumuhukumu kwa sasa kabla ya uchaguzi. Aliyebaki mwenye uzoefu wa nginja nginja na dola ni Freema Aikael Mbowe. Kwangu mimi naona waweke tofauti zao pembeni aingie ulingoni kama asaidie vijana ili dola ipate funzo la kuheshimu nguvu ya umma
Amina! Ubarikiwe mjoli wa BwanaHudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu
Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina