PreGE2025 Kama CHADEMA hawakuandaa "back - up" ya Tundu Lisu, huenda Mbowe akafaa huko mbeleni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHADEMA ya sasa itajisimamia kupitia wananchi na wanachama wake watiifu, waaminifu na wakweli. Hakuna kurudi nyuma.
 
Chadema sio lazima awe na Mbowe japo naungana na hoja yako , ichi chama kina watu so back up kwa chama hichi sio shida, wenyeviti wa chadema wa kanda wote ni balaa,hujaweka mikoa ,wilaya ,muundo wa chama cha chadema ni wakipekee sana that's kukiua ichi chama ni ngumu, na mbaya ambacho watu na wapinzani wao hawajui chadema imejijenga kama familia.

Kiongozi yoyote au mwanachama wa chadema hata akisafiri popote akapata shida ,akutanapo na makamanda wenzake atasaidiwa kama yupo nyumbani kwake / kwao ,wanaupendo sana wanachama wa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…