Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Nimemsikia samia akisema wanamsubiria mwenzao anatafakari mambo kadhaa. Na hawa wengine nmewaona wana furaha wakitabasamu kuwa pale.
Sasa hawa si wapo tayari? Kuna Chauma, ACT, CUF,TLP,NLD,NCCR n.k kwa nini CCM na samia wasiamue tu kuridhiana na hawa mpaka wamsubirie Lissu?
Je hawa wengine hawajisikii vibaya kuwa wao wapo tena wengi lakini wanaonekana si kitu? Yaani muwe Darasani darasa lenye wanafunzi 20. 19 wamefika bado mmoja mwalimu anasema hawezi anza fundisha mpaka huyo mmoja atakapomua kuja shule.
Na hajui atakuja lini na saa ngapi. Ila anasema tusubiri tu siku akija ndo ntaanza kufundisha. Je ninyi wengine mtajisikiaje?