UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Wengine watakuwa wamechangia porojo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza swali Sasa matusi ya nini?Wewe utakuwa KUPE
Hivi unadhani ni wewe Peke yako na bichwa lako bovu ndo ulimsikia Mbowe? Mtu anasema "nimepoteza mabilioni Kwa kujiunga CHADEMA". Wapi amesema ametumia mabilioni kujenga CHADEMA? Watanzania wanajua jinsi miradi ya Mbowe ya mabilioni ilivyoharibiwa Kwa vile tu yuko mwenyekiti wa CHADEMA. Kugeuza kwako maneno hakubadilishi ukweli wanaoujua Watanzania.Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake.
Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
Hawa wengine mapoyoyo ya humu JF yamechangia matusi kwa opposed wao!Kwa maelezo ya Mbowe ametumia mabilioni ya fedha kuijenga CHADEMA. Kwa bahati nzuri hakuna anayekanusha haya kutoka kwa wana CHADEMA wenzake.
Swali langu wengine mchango wao ni upi au ni kama KUPE tu kwenye ng'ombe aliyenona?
Kama katumia zake kwa anachokipenda sioni sababu kwanini wengine kuumia roho..Ndilo alilolisema? Walikopeshana? Aliseeema, '....Nimetumia mabilioni yangu....." na katikati akadai yeye katoka kwenye familia ya wenye hela....Zinakauka?
Umeulizwa swali....Kama katumia zake kwa anachokipenda sioni sababu kwanini wengine kuumia roho..
Na kwani kusema anatoka kwenye familia yenye hela ni dhambi? au ulitaka adanganye? umaskini pia sio sifa.