Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumuombea msamaha kwa nani?
Kwa kosa gani?Kwa Rais wa JMT
UgaidiKwa kosa gani?
Usichoelewa nini? Mbowe na Mnyika wanaitaka TCD kueleza kuwa kesi imekaa kisiasa ifutwe. Hawajataka ukaombwe msamaha kama anavyotafasili aliyepewa taarifa. Ajue haombwi msamaha bali anakumbushwa kufua kesi haina tija. Ndivyo nilivyoelewa.
RightUsichoelewa nini? Mbowe na Mnyika wanaitaka TCD kueleza kuwa kesi imekaa kisiasa ifutwe. Hawajataka ukaombwe msamaha kama anavyotafasili aliyepewa taarifa. Ajue haombwi msamaha bali anakumbushwa kufua kesi haina tija. Ndivyo nilivyoelewa.
Pia Lisu anatoa jibu kwa mwenye dhana ya msamaha hayupo sawa bali ni kufua kesi bila masharti.
Zitto Yuko kazini,anafanya kitu inaitwa disinformation. Tunamjua vizuri tu kwa hiyo wacha atumike kama alivyotumika awamu ya nne. Awadanganye nyie msiomfahamu.
Sisi wengine si Mbumbumbu FC kama wewe. Alichofanya Mnyika kwenye mkutano wa viongozi wa vyama ni kueleza ukweli na kutaka TCD ihusike kumwambia Mwenyekiti wa CCM kwamba kesi inayomkabili Mwenyekiti mwenzake haina mashiko kijinai zaidi ya Siasa. Kuitwa kesi ya kisiasa Mzee Mangula akasema isisemwe hivyo Kwa sababu kesi iliyopo ni ya jinai na ndipo Mnyika alipompa Committal proceedings ambazo Zitto ameziita nyaraka za kesi ili ajisomee mwenyewe na kupima kilichomo kama kinaendana na Ugaidi. Zitto akabaki na jukumu la kumweleza Rais ukweli kwamba hapo Hakuna kesi zaidi ya Siasa. Je, mpaka hapo ni wapi Mnyika kamtuma Zito kuomba msamaha?
Mahakama bado haijasema ni gaidi.Ugaidi