Kura ya maoni ya CCM imetia fora kwa rushwa. Kila mjumbe anasema bila chochote mtia nia hapati kura yake. Kila mtia nia anaona bila kutoa chochote atapoteza nafasi anayoiomba.
Hapa kwa asilimia 100 tusiwalaumu TAKUKURU. Rushwa ni siri ya yule anayetoa na yule anayepokea. TAKUKURU hana cha kufanya. Kama Chama tukae na kujadili kuna tatizo gani katika suala la rushwa kwenye uchaguzi. Nafasi ya Ubunge mtia nia anadiriki kutoa rushwa ya mailioni.
Tanzania tunaelekea pabaya. Tujisahihishe.