Kama chapati yako moja ni sawa na mbili za zamani (oversize) mwambie mteja mapema

Kama chapati yako moja ni sawa na mbili za zamani (oversize) mwambie mteja mapema

Nimeona nije na picha. Haya maharage ni jero kinesi hapa😂
 
Kwa ninavyopenda chapati .Zije za zamani au mpya au kuukuu ,ziwe kubwa kama shuka au sahani ,mimi sijali nabondaaa zoteeee.
 
Vijana wa daslama mna shida sana yaani chapati moja inakushinda kumaliza?
 
Back
Top Bottom