Kama chuki kweli Clouds fm mnatisha kwa Lady J dee

Jide keshawaambie hata akifa, Ruge na Kusaga wakitia timu msibani wapigwe mawe na waombolezaji, tena radio yao isitangaze habari za kifo chake. Naona nao wameamua kutii mapema kwa kutolitaja jina lake.

elewa kua kasema nyimbo zake siyo za watu wengine
 
Mnayataka wenyewe kwa kusikiliza hicho kiredio cha kijinga. Mi wala sina muda nacho, ndo maana hunikuti na malalamiko ya hivyo.
 
Nimemuona shinyanga kafunika balaa! Kibibi kiko juu, ule umati kama fiesta tu. Jeshi la bibi moja!.

Ila sasa wimbo sio wa jide. Hata akitajwa mnabana kama vile lemetamkwa tusi, au kawatukanisha?
 
Reactions: BAK
Nimemuona shinyanga kafunika balaa! Kibibi kiko juu, ule umati kama fiesta tu. Jeshi la bibi moja!.

Ila sasa wimbo sio wa jide. Hata akitajwa mnabana kama vile lemetamkwa tusi, au kawatukanisha?

Kwani chenyewe kinataka hata kutajwa kwenye hiyo redio?
 
Poleni wapenzi wa kulazimishwa kusikiliza baahi ya nyimbo ama wasanii. Mimi mwenzenu toka kitambo nipo na CD zangu za Msondo, Nginde, Marijani, Vijana, Zaiko Langa Langa, Wenge BCBG, Defao, Bima Lee, Maquis, na bendi nyingi tu za sasa ambazo kwa makusudi mawingu hawataki kupiga kwa sababu hawawezi kuwatumia wasanii wake kuwauzia unga nje.
 
Best visasi vya Clouds FM vinanishangaza sana. Sijui ni kitu gani wanachoachieve kwa kuminya jina la Jide lisitajwe katika nyimbo ambazo wasanii wenzie wamemtaja. Bahati nzuri sasa Bongo tuna redio stations za kumwaga, ingekuwa ni Clouds FM tu ndio redio station pekee basi Jide angelala njaa lakini anapeta kwa raha zake. Visasi vya kitoto kiasi hiki kutaka kukomoana havisaidii lolote sana sana Clouds wanajikomoa wenyewe maana baadhi ya wasikilizaji wanaweza kabisa kuwa hawaridhishwi na jinsi wanavyomtendea Jide hivyo kuamua kutosikiliza Clouds FM. It is time to let bygones be bygones.

Nimemuona shinyanga kafunika balaa! Kibibi kiko juu, ule umati kama fiesta tu. Jeshi la bibi moja!.

Ila sasa wimbo sio wa jide. Hata akitajwa mnabana kama vile lemetamkwa tusi, au kawatukanisha?
 
Jide keshawaambie hata akifa, Ruge na Kusaga wakitia timu msibani wapigwe mawe na waombolezaji, tena radio yao isitangaze habari za kifo chake. Naona nao wameamua kutii mapema kwa kutolitaja jina lake.

hahahahhaa,wanatii agizo bila shuruti,kuna kitu nahis walidhamiria ila wamechelewa,maana wao wamezoea kuwaisgina watu na kuwapoteza ili baadae wawalilie na kuwanyanyasa,lakin binafsi redio zote namsikia jide na yahya wake wanapeta,
 
Radio imejaa mashoga watangazaji wanaliwa kama mboga nitapotaka kusema jambo huwa sifichi ruge bonge la snitch eti anaanzisha chama wakati yeye ndio chanzo cha mziki wetu kukwama--rais wa mbeya
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Radio binafs inatalatibu zake sawa na wewe ulivyojipangia talatibu zako kama inakukela kuna radio zaid ya mia tanzania ruhusa kupeleka nyimbo zake radio nyingine wazicheze sio kulaum clouds fm ni radio ya watu ila ukizingua wanakutema hawana ubabaishaji wao habari ndo hiyo
 
Kwa sasa kuiita radio ya watu unakosea bali ni radio ya wafu
 
Binafs naona Jide anazidi kufanikiwa,YAHYA WAKE ANACHEZWA REDIO ZOTE,NA ANASHIKA NAFASI YA JUU KWENYE HIZO CHART,JAMBO AMBALO HATA WASIPOPIGA YEYE ATA-SHINE,RIZKI YA MTU HAIPO KWA MTU,ILA MUNGU HUIPITISHIA KWA MTU

Kweli mkuu umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…