Jide keshawaambie hata akifa, Ruge na Kusaga wakitia timu msibani wapigwe mawe na waombolezaji, tena radio yao isitangaze habari za kifo chake. Naona nao wameamua kutii mapema kwa kutolitaja jina lake.
elewa kua kasema nyimbo zake siyo za watu wengine